NSSF haooooo!!

Jaman kama finance wameshaitwa sasa mimi ndo nshakosa ivyo. Yaan ktk wa2 1000 shortlisted mie cmo, hili c gundu jaman. Kwenye iz wanazoitajika watu wawili au wanne tutapata kwel?
 
@wakutomboka, kila mtu ana sehemu yake alipopangiwa kwa rizki yake! Usijali, bado hujafika kwako!
 
Mi kwakua accounts nilijua watu watakua weng nikaamua kufanya ya operation oficer kwakua qualification almost the same!na kama ndio wameshaita dah maisha yanazid kua magumu especially kimawazo coz nawaza sana had beyond the limit!WHY ALWAYS ME?
 
Bokohalamu wala hakuna haja ya kulaumu, mara nyingi malalamiko na kukata tamaa huzuia baraka zako. Wewe kikubwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kumuomba akusaidie. I,m telling u bahati ya mtu haizuiliki wala haipelekwi kwa mtu mwingine na kila mtu hapa duniani ana namna Mungu alivyomuandalia maisha yake kwa namna ya peke yake, na wala hawezi kukupa liliyo baya hata siku moja, kikubwa tu wewe piga sala /swala na wala usichoke kutafuta u will come to see one day and u will appreciate makuu ya Mungu.
 
Jaman kama finance wameshaitwa sasa mimi ndo nshakosa ivyo. Yaan ktk wa2 1000 shortlisted mie cmo, hili c gundu jaman. Kwenye iz wanazoitajika watu wawili au wanne tutapata kwel?

Ina maana wameita watu 1000 oral interview kwa finance tuu? wakutomboka wala usikate tamaa, bahati yako ipo na ipo siku utaitwa, tena utashangaa hizo watakazohitaji watu wawili au wanne ndizo utakazopata.
 
Bokohalamu wala hakuna haja ya kulaumu, mara nyingi malalamiko na kukata tamaa huzuia baraka zako. Wewe kikubwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kumuomba akusaidie. I,m telling u bahati ya mtu haizuiliki wala haipelekwi kwa mtu mwingine na kila mtu hapa duniani ana namna Mungu alivyomuandalia maisha yake kwa namna ya peke yake, na wala hawezi kukupa liliyo baya hata siku moja, kikubwa tu wewe piga sala /swala na wala usichoke kutafuta u will come to see one day and u will appreciate makuu ya Mungu.

Nakushukuru mkuu kwa kunipa moyo,wacha niendelee kutupia applications na kusali,may be one day yes!
 
Back
Top Bottom