Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,741
Sasa wewe nawe unaongea nini,mbona watu wengine hameleweki!? Watu wanataka kujua mustakbari wa pesa zao wewe unaleta story za jikoni,hapo NSSF hata angekuwa Pope ndiye DG kwa uhamuzi huu wa Dau angepigiwa kelele tu.
hapa hakuna hoja kuna chuki binafsi dhidi Dr Dau,ni chuki dhidi ya mafanikio yake.Jiulize kabla ya kulaumu hiko unacholalamikia yeye ndo amekiweka/amekitunga au la?
Tatizo jf siku hizi ni mkumbo kwa kwenda mbele.Mtu mmoja akilaumu wengine nao wanaiga bila ya kujua yupo sahihi au la.Hakuna yoyote anayeweza kuandamana ni kelele tu.Wenye kuandamana wanajulikana