Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 88
Dear Friends in JF, I badly need your help!!
I know JF is full of great thinkers.
Mtu kaniletea simu SAMSUNG GALAXY Gio GT S5660M toka Canada.
Ni GSM
Kwa bahati mbaya hii simu iko locked ili itumike huko Canada kwenye network ya Bell tu!
Sasa naomba msaada wa ku-unlock network.
Tafadhali sana tena sana nisaidieni ndugu zangu.
Natanguliza shukrani!!