Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
Ni Kweli hakuna kazi itakayokosa critics hasa kama hii ya utunzi, ila ku criticise kazi ya riwaya kwa kusoma utangulizi,au page moja ya kitabu si sahihi kabisa na majority wanaweza kuwa wamekalia chuki binafsi maana sisi binadamu mtu kukubali cha mwenzie huwa ngumu.Pata kopi yako soma ukimaliza toa pongezi kwa kazi nzuri au ushauri/critics kwa yale unayoona hayakwenda sawa..sio umesikia tu katoa,au umeona katoa wewe ni critics tu.halafu mwingine kwa vile mwanakijiji ni adui/mpinzani wake basi yeye ni critics tu!!