Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

"The kidnap of an angel" written by Peter Iwoba Oguda

Ni stori ya tajiri alioa mke wake mzuri akampenda sana, hakujua kama yule mwanamke ana pacha wake wanafanana kinoma. Yule mke wa tajiri alipenda pesa hakumpenda yule tajiri, yule mama akawa na bf mwengine nje ya ndoa. Akaandaa mazingira akamuwezesha yule bf wake wakawekeza sana.Alichofanya yule mama aka plot akamuua TWIN wake wakamtegea ule mwili kwa yule tajiri. Yule mama akaenda kuishi na jamaa yake wa nje wakawa wanatumbua maisha. Aliyegundua mchezo ni mwandishi wa habari ambaye alikuwa curious kufahamu mambo fulani fulani.
 
bado namkumbuka UNONO kwenye DAR-ES-SALAAM USIKU ya Ben Mtobwa,mfupi hivi,mweusi kama mkaa,jumlisha ile rangi inayotokana na uchafu wake,nyonyo kuuuubwa na ndeeefu kweli iliyokosa ushirikano thabiti na kifua chake,tumbo lililotokeza sana kwa mbele,halafu kwa huku nyuma akapewa 'bidhaa'iliyomtosha kukalia TU na sio vingine vyovyote.........daah,Beny alikuwa noma!
 
pia urembo maridhawa wa Hawa,binti aliekuja kuuawa kikatili mno(hadi nikawa naogopa kusogeza hata mguu pale nilipo!-kwenye Dar usiku)na limjamaa katili kuliko shetani mwenyewe(Proper)!-Tutarudi na Roho zetu,Njama,Kikosi cha Kisasi,EWUDU(hii ya cameroun),EFURU.......ya Cyprian Ekwensi.mama angu anisamehe kwa kuhamishia kabati lake la vitabu chumbani kwangu na baadae kuviharibu vyote!!
 
EVE ya James H. Chase,Godfather ya Mario Puzo!(hii nadhani iko kwa kijimaktaba changu),Mashimo ya Mfalme Suleiman n.k
 
Thing's follow apart na is it posible ndo zilikuwa the best kwangu na mpaka sasa nazikumbuka kwa kiasi kikubwa
 
Brown ashika tama...opss hivi kilikuwa cha secondary au primary.....things fall apart basi
 
1. Njama......Aristablus Elvis Musiba

2. Kikosi cha kisasi...Aristablus Elvis Musiba

3.Kane and Abel.....Jeffrey Archer

4.The Almighty.....Irving Wallace

5.The whiff of Money...James Hadley Chase
 
Nakumbuka sana Is it possible ya lerionka, Zawadi ya ushindi na i will marry when i want, +vanishing shadow
 
Back
Top Bottom