Notice: Kwa wanaotaka kuagiza "Majeruhi" kutokea Europe na kwingine

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
AMAZONEU.jpg
attachment.php

Mojawapo ya mambo ambayo yametokea leo ni kuwa baadhi ya wasomaji wangu wa Ulaya wamejaribu kuagiza kitabu cha "Majeruhi" kutokea Marekani na hivyo kujikuta wanalipa karibu mara mbili ya bei yake (wakijumlisha shipping). Naomba niwaambie kuwa Kitabu hiki unaweza kuagiza kutokea huko huko Ulaya na kupunguza gharama ya shipping.

Tafadhali tembelea hapa kuweza kuona nchi uliyopo na jinsi unavyoweza kuagiza:

AMAZON EUROPE
 
dahhhhh wa kanda za chini je ??
Haina neno changu kinakuja even tho nimelipa kuliko nilivyotegemea (is worth it)

pole sana na asante; kwa kweli sikutegemea reaction hii hasa kwa walio nje. Hii inanipa uhakika nyumbanni tunaweza kujikuta tunaenda second printing very soon kuliko tulivyotarajia
 
pole sana na asante; kwa kweli sikutegemea reaction hii hasa kwa walio nje. Hii inanipa uhakika nyumbanni tunaweza kujikuta tunaenda second printing very soon kuliko tulivyotarajia

Haina neno kabisa..
at least sasa unajua na hilo ndo muhimu.

inategeme lakini. kama unataka kije haraka ama siku chahe unalipa zaidi na kama unataka kichukue muda kufika unalipa kawaida tu ..
kwa hiyo bado kuna ule uchaguzi "si mbaya sana".
 
asante kwa maneno ya kutia moyo maana sikutaka wasomaji wangu wa pande hizo kufikiri nimewauzia mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom