Nyoka sababu anahusishwa na shetani hata vitabu vimeeleza..Mh!.. Mbn huulizi vifaru, majengo, sura za watu??????
Freemasons
na mi ndo naona ni hivyo hii hela itakuwa na maana hiyo nasikia hata dola moja wanaotoa wageni kwa babu nayo ina nyoka...so mission accomplished
Nyoka huyo inaashiria ngoma ya kabila fulani hapa TZ ambayo huwatumia wakati wa kucheza.Ni katika kulienzi kabila hilo!
Bado sipati picha! Na ni kwanini NYOKA huyu awe kwenye noti ya mia tano tu kuanzia ile noti ya zamani na hii mpya?
Freemasons
Nimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii mpya kuna picha ya NYOKA yuko juu ya mti, kwenye noti zote huyu nyoka hayuko lakini kwenye noti hii ya shilingi mia tano yupo je inamaana gani?
Nakumbuka kuna mtu hapa JF alishatuambia nini maana ya nyoka huyu kuwepo kwenye nembo za mahospitalini lakini kwenye noti hii ya mia tano anahusika vipi kuwepo hapo? Nawasilisha kwa mwenye kujua atufafanulie.
Nyoka ni alama ya Tiba na Uponyaji ndo maana taasisi nyingi za Tiba hutumia nemboya Nyoka. Hata Shirika la Afya Duniani WHO linaumia nembo ya nyoka, waganga wa jadi wanafuga nyoka wa kutosha, hata kwenye nembo ya hospitali ya Muhimbili kuna chata ya nyoka, Noti ya shilingi mia tano pia ilikua na picha ya nyoka ikimaanisha uchumi imara unahitaji watu wenye afya.Nimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii mpya kuna picha ya NYOKA yuko juu ya mti, kwenye noti zote huyu nyoka hayuko lakini kwenye noti hii ya shilingi mia tano yupo je inamaana gani?
Nakumbuka kuna mtu hapa JF alishatuambia nini maana ya nyoka huyu kuwepo kwenye nembo za mahospitalini lakini kwenye noti hii ya mia tano anahusika vipi kuwepo hapo? Nawasilisha kwa mwenye kujua atufafanulie.
Mahali popote picha au alama ya Nyoka huwakilisha Ibilisi ShetaniNimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii mpya kuna picha ya NYOKA yuko juu ya mti, kwenye noti zote huyu nyoka hayuko lakini kwenye noti hii ya shilingi mia tano yupo je inamaana gani?