Noti Ya Dola Moja Picha hii Inamaanisha Nini?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Ndugu waJF kwenye kila noti za hela kwenye kila nchi kuna alama ambazo zina maana tofauti, nimeiangalia noti ya dola moja ya Marekani nyuma kuna picha ya mnara wa Piramidi halafu kuna picha inayoonyesha JICHO MOJA linaona isitoshe china kuna maneno yayosomeka IN GOD WE TRUST je kunamaanisha nini kati ya hayo maneno na hilo jicho moja linaloona? Naweka hoja hii mbele yenu THE GREAT THINKER!

1USD BILL 1.jpg us_dollar_back.gif
 
Freemasons at work!..
Hata hizi noti mpya za Bongo zina vipicha vyenye utata sana...
We need to pray!
 
Ndallo Kuna kitu unataka kusema (ILLUMINATI na FREEMASONS) lakinI una hofu sema Mkuu, ukisema ndio hoja zitajengwa vizuri
 
MI NATANGULIA KUFA stak ma freeemanson yanikute stak kutumia 666 mie
 
Ndallo Kuna kitu unataka kusema (ILLUMINATI na FREEMASONS) lakinI una hofu sema Mkuu, ukisema ndio hoja zitajengwa vizuri

Sina nia mbaya ila nikutaka kujua na kuelimishana ndio maana tuko hapa mkuu KITUKO!
 
Mkuu hilo jicho ukiangalia vizuri kuna vijumba, sasa maana yake ni nchi zenye utajiri mkubwa duniani (ambazo ni chache), zipo kuamua au kufikiria kwa nchi maskini zifanye au zisifanye nini. Ndio maana hata nchi maskini zikiwa na mafuta kuyachimba lazima nchi tajiri zitoe go ahead. Jicho limeangalia chini ya pyramid na kwenye pyramid kuna vijumba vingi sana (ambavyo ndio nchi maskini duniani). Ndio maana vikwazo vya kiuchumi katika nchi husika vinawekwa na nchi tajiri. Na pia Nchi tajiri kura yake moja niya muhimu sana. Kwa kifupi hilo jicho ni nchi tajiri.
 
Uoga ni Ugonjwa mbaya sana.
Angalia kwa umakini kabisa kiganja chako cha mkono (ikibidi chukua kalamu ya windo ufuatishe alama zilizopo), kama utakuma "makini" vya kutosha, utaona mchoro wa piramidi (kwa wengine moja, kwa wengine mbili) na alama ya nyota kwa juu (wengine pembetatu), Unapata mawazo gani hapo? ALIYEKUUMBA (Whoever) huenda na yeye ni FREEMASON!!!!....Tafakari.:clap2:
 
Mkuu hilo jicho ukiangalia vizuri kuna vijumba, sasa maana yake ni nchi zenye utajiri mkubwa duniani (ambazo ni chache), zipo kuamua au kufikiria kwa nchi maskini zifanye au zisifanye nini. Ndio maana hata nchi maskini zikiwa na mafuta kuyachimba lazima nchi tajiri zitoe go ahead. Jicho limeangalia chini ya pyramid na kwenye pyramid kuna vijumba vingi sana (ambavyo ndio nchi maskini duniani). Ndio maana vikwazo vya kiuchumi katika nchi husika vinawekwa na nchi tajiri. Na pia Nchi tajiri kura yake moja niya muhimu sana. Kwa kifupi hilo jicho ni nchi tajiri.

Kuna great thinker mmoja aliwahi kusema: sku hizi JF imejaa vilaza.
 
Back
Top Bottom