Noti bandia zatapakaa mkoani Rukwa................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Gazeti la habari Leo linatuhabarisha ya kuwa Mkoani Rukwa noti za bandia za shilingi 10, 000/= zimezagaa...............................
 
Maisha ni magumu sana, hasa kwa wakulima. Ukiangalia msimu wa mavuno ni balaa, watu wanapeleka noti bandia vjjn kwenda kununulia mazao!!!! mkulima anapoenda nazo mjn kwenda kununua bati inakuwa taabu! Na pale Tunduma wamebadili geear na kuanza kutengeneza dolari za marekani!!
 
Gazeti la habari Leo linatuhabarisha ya kuwa Mkoani Rukwa noti za bandia za shilingi 10, 000/= zimezagaa...............................

Hii ni economic sabotage na haya yanachangia sana kuongezeka kwa inflation.

Halafu naambiwa hawa manyang'au wanashirikiana na makarani-njaa wa benki zetu kuingiza hizi noti kwenye mzunguko. Kwa taarifa yenu, mashine ya ATM haina uwezo wa kuitambua noti feki!
 
Back
Top Bottom