"Not On Christian Mission"

Hata kama si yeye aliye wauwa lakini alikuwa anasapoti upande gani...? Ni kimbere mbere chake kilicho mpeleka kwenye nchi ambayo imeharibiwa na mabwana zake wa kimarekani na washirika wake. Alitegemea nini... kwani waAfghanistan walimwita au kumuomba msaada wake?

Nawashangaa sana hawa wanaojiita mafundamentalists wanaoishi nchi za kimagharibi wakati wenzao wanaishi kwa mateso katika nchi zao huko afghanistan na kwengineko, halafu cha ajabu wanalilia uraia na kudai haki zote za watu wa west, si warudi kwao wakajenge nchi zao na kupingana na hiyo dhuluma wanayoilalamikia???!!>?:A S 39:
 
Nawashangaa sana hawa wanaojiita mafundamentalists wanaoishi nchi za kimagharibi wakati wenzao wanaishi kwa mateso katika nchi zao huko afghanistan na kwengineko, halafu cha ajabu wanalilia uraia na kudai haki zote za watu wa west, si warudi kwao wakajenge nchi zao na kupingana na hiyo dhuluma wanayoilalamikia???!!>?:A S 39:
Wewe nawe hujui unacho kiongea...!
 
japo hakuwa mtz lakn huyo dk amejitolea mhanga kwa ajili ya kusaidia maskini na imekuwa bahati mbaya kwamba ni umasikini/ujinga ndio uliosababisha kifo chake kutokana na hao watalibani kkupumbazwa na ilm roho ambayo haitoshi kumkamilisha binadamu.
 
japo hakuwa mtz lakn huyo dk amejitolea mhanga kwa ajili ya kusaidia maskini na imekuwa bahati mbaya kwamba ni umasikini/ujinga ndio uliosababisha kifo chake kutokana na hao watalibani kkupumbazwa na ilm roho ambayo haitoshi kumkamilisha binadamu.
Kwa uoni wako wale wanao ua wanawake, watoto, vikongwe na vijana kwako ndio watu bora wenye ilmu ya kimwili.
 
Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????

Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira

Hii ni vita kati ya hao wafghani wanaotaka majeshi ya magharibi yaondoke na hayo majeshi ya magharibi hivyo vikundi ni kama vyama vya siasa kama vile LRA ya uganda na serikali ya uganda na sio dini kwani dini zote zinahimiza amani

LRA((tutawaitaje wakristo wenye siasa kali)_??

Vita kati ya Sadamu na marekani ni vita kati ya nchi mbili anapouawa mmarekani kwenye vita hakuna wakumlaumu kwani wako vitani unategemea nini uue usiuwawe

Mara nyingi hawa wanaojifanya madaktari siajabu wametumwa kuspy. Tufunguke macho nchi za magharibizinatumia kigozo cha dini kutuwekea sumu kwenye bongo zetu. Savimbi walimuunga mkono wakawa wanachukua madini baada ya kumaliza kumtumia wakaja kumuua kwa muda mfupi tu kama kuku. Mandela naye alikuwa gaidi Sasa hivi Uganda kumegunduliwa mafuta watawatumia LRA waweze kuchota mafuta. kuweni macho hapa ni propaganda mbona hawaji somalia kama lengo ni kuweka amani?
 
Jamani utu wetu upo wapi? ebu tuache kutetea mauaji ya watu wasio na hatia sehemu yeyote ile.
 
woo1_397x224.jpg


The family of a British doctor killed along with eight foreign aid workers in Afghanistan has rejected claims she was preaching Christianity to Muslims.

Karen Woo was among 10 people shot dead in the remote northeastern Badaskhshan province on Friday. Her body and those of seven others have arrived in Kabul for formal identification as police hunt for their killers.

The 36-year-old British medic, who was due to marry this month, was murdered along with six Americans and a German as they were returning from a medical camp. On Saturday the Taliban claimed responsibility, saying the group and their Afghan interpreters were "spying for America and preaching Christianity".

In a statement, Woo's family said her motivation was purely humanitarian.

"She was a Humanist and had no religious or political agenda," the statement read. "She wanted the world to know there was more than a war going on in Afghanistan, that people were not getting their basic needs met.

"She undertook this trek as a medical doctor, accompanying medical supplies and to provide treatment to people who lived in an extremely remote region who had little to no health care available. The Foreign Office confirmed the British doctor killed in Afghanistan was Dr. Woo, adding in a statement: "This is a deplorable and cowardly act which is against the interests of the people of Afghanistan who depended on the services she was bravely helping to provide."

Another militant group -- Hizb-e-Islami -- also has claimed its members carried out the attack on the convoy, which had been visiting the neighboring Nuristan province. Despite the two claims, Afghan authorities have said they believe robbery was a motive in the ambush.


Two Afghans also were killed in the attack, while one driver -- identified as Saifullah -- survived.

He was taken in for questioning by police. He told them the convoy was confronted by a group of armed men, who stole their money and belongings before lining up the victims and shooting them. Saifullah said he was spared because he began to recite verses of the Koran, proving to the militants he was a Muslim.


Source:
FoxNews


NB:
Hii imesikitisha sana, hawa jamaa wamemuua huyo Dr aliyekuwa anawasaidia watu waliokuwa kwenye mazingira magumu kiafya. Sababu za kijinga ati alikuwa analeta ukiristo! Kwa Uislam ni mauwaji?????

Do not be naive, even Taliban knows better than to kill people for preaching Christianity...that's western media for you
 
Mhhh this world could be a nice place to live without these Islamic fundamentalists! ugaidi wao, uuwaji bila sababu wao ......kazi kweli kweli
I think you mean this world would be a better place without guns and bombs:confused2:
 
Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????

Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira
Na kasema pia kwamba she was prepared for anything to happen, hivyo unapoenda msituni na hasa Serengeti kwa miguu usitegemee Simba watakuacha ati wa sababu wewe ni binadamu. na maajabu ya Binadamu its OK kwao kuua Simba lakini sio Simba kumuua binadamu ndani ya mbuga zake!
 
Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.

Many people are blind when they come to that point. I am sory to admit that the America's quest for Global dominance result to all we see.

Supporting the westerners means u support American's. SHAME, SHAME SHAME....!
 
Poleeee samaki poleeeeee
wanachokufanyaaaa
Poleeee samaki poleeeee
 
REV. Masanilo, ebu tukumbushe namna dini zilivyokuja africa.........ili tupime huyu mama alikuwa kule kwa mission gani......am sorry lakini
 
REV. Masanilo, ebu tukumbushe namna dini zilivyokuja africa.........ili tupime huyu mama alikuwa kule kwa mission gani......am sorry lakini

Teh teh teh kabla tulikuwa na imani zetu ! Walianzia na wamisionari na shule zao, dispensary na makanisa! lakini Kiongozi kwa huku Afghanistan tayari wana imani zao! Dr Karen kwanza yeye si muumini wa dini yeyote! Umenisoma?
 
Katika hii dunia ya kawaida, unaamini kuwa kuna binadamu aliye bora na asiye bora kwenye macho ya wamagharibi?....wakati wengine wakifa kama kuku, dunia haiambiwi mambo hayo....wakati taifa moja likiivamia nchi iliyokuwa imetulia tu na kuifanya bwawa na damu ambapo kila kukicha watu wanauwana wao kwa wao, dunia haiambiwi mambo hayo...katika macho ya wamagharibi, Dr. Karen anathamani kuliko a thousands of Afghans and Iraqis. Sadam aliua wakurd kadhaa, dunia nzima ilijua kuwa sadam ni muuaji. Kwa wanaothamini utu, kama ni kweli aliuwa hao wakurdi basi ni muovu na hafai...alifatutwa akanyongwa, yeye na washirika wake....lakini ninakwambia masanilo, saddam hakunyongwa kwa kuwa aliua wakurdi...wakurdi hawana thamani kama Dr. Karen kwenye macho ya wamagharibi...je toka sadam ameondolewa madarakani, ni wairaq wangapi wamekufa? je dunia inawalilia? kwanini?

Juzi Juzi, meli ya misaada iliyokuwa ikienda palestina ilivamiwa na makomandoo wa kiisraeli, na kuua wanaharakati wote ndani ya meli iyo. waliokufa hawana thamani kama Dr. Karen katika macho ya wamagharibi. waliouwawa wengi walikuwa raia wa uturuki. Raia wa uturuki hana thamani kama Dr. karen kwenye macho ya wamagharibi.....ndo maana dunia haikuwalilia, na Masanilo hakuwalilia

Hakika nikwambie masanilo,,,hata wewe unayemlilia huyu Dr. Karen huna thamani yeyote katika dunia ya kimagharibi...

Funga macho unayojidanganya ni yako kumbe ni kupumbazwa tu na wamagharibi, na ufungue yale yakwakwo ya asili....yale yatakayokuwezesha kuona every evil, whether it is done by Afghan or USA

we are just living in a lie!
 
Kwa hiyo huwa unapata taarifa kwenye misaafu au..........
Sina uhakika kama unajua unacho kiongea, wacha chuki na jazba pembeni... iwache busara zitawale akili yako na macho yako yatafunguka na kuona ukweli na hali halisi ya mambo.
 
Kiongozi Dr Karen hakuwa vitani bana!

Yule alikuwa vitani.Na ni mbaya kuliko askari anayeshika bunduki.Utaona jinsi wa afghan walivyo werevu.
Kumpiga vita mtu kiakili tangu utoto kwa kumpandikiza kuuchukia uislamu ni kubaya zaidi.
Nyinyi mumezoea kubatiza watu katika hali za shida zao.Watu munawatia matatizo halafu munatuma wajumbe wenu wawamalize.Ndivyo alivyofanya Nyerere Tanzania.
 
Ila majonzi kwa WaAfghanistan huna, maana wale si binadamu...!

Lakini banana republics fulani kama Afghanistani, TZ nk lazima wapigwe viboko na kaka mkuu ili waone sense, basi tu TZ kwa kua ni 'yes man' wa Bush ndio maana mambo shwari.
 
Back
Top Bottom