Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

Safi sana!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
haki ya nani vile,sasa roho imetulia
sababu ilitolewa hasa nini kilichofanya wachelewe?
kura zikoje ebu tupe tulale

Kawe tunasubiri
 
Kweli mwaka huu Bungeni ipo kazi...: Mnyika (Ubungo), Mdee (Kawe), Msigwa (Iringa), Shibuda, Mpendazoe... naona kwa kweli kutakuwa na kazi!
 
ukianika Gagulo huwezi kuanua Gauni...
Pambaf huo utakuwa ni wizi.
CCM mlifukia mashimo bila kuweka Mbegu.
Kiko wapi sasa?
Nyoo
 
Kweli mwaka huu Bungeni ipo kazi...: Mnyika (Ubungo), Mdee (Kawe), Msigwa (Iringa), Shibuda, Mpendazoe... naona kwa kweli kutakuwa na kazi!
Sugu kwa pembeni bila kumsahau mzee wa kiraracha, najaribu kupiga picha bungeni Mrema akibishana na prof. Maji marefu kazi ipo.
 
kwa takwimu za haraka haraka out of 50 delacred results, CCM-31, CHADEMA-14, CU-2, NCCR-1, TLP-1, inatia moyo kweli. Hapa bado results toka Karatu, Mbulu na kwingineko hazijajumlishwa
 
wana jf mpaka sasa mambo yana kuwa na utata, kiravu kaenda ubungo , manyika according to primary election kutoka kata zote anaongoza kwa kura zaid ya elfu 20, wakawaambia tume wahesabu kwa kutumia excel,wakina mnyika walienda na laptop sita, wasimamiz wa kituo wakasema hawawezi kuzitumia, kwahiyo wamepeleka laptop kutoka makao makuu nec, ndio wameanza kuhesabu,..
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana Mnyika ni Mbunge wa Ubungo kuanzia leo. Ameshinda kwa kishindo na watu wote wamelipuka kwa shangwe. Pale Loyola kwa sasa hapakaliki!!

Kwa habari zilizochelewa hivi, vema kuweka na takwimu ili watanzania tulale jamani, sijalala tangu jana pleaseeeee, kura za kawe na ubungo ni muhimu zieleweke wazi ili dar es salaam kieleweke kuwa tunajua nini maana ya mageuzi
 
Kama kweli hizo ni habari nzuri sana. Lakini ingefaa kama mngejitahidi kutuwekea na namba ili tufurahi zaidi. Kazi nzuri.
 
Huyu maji marefu ni profesa wa nini? Mwenye taarifa naomba msaada.
 
kweli mwaka huu bungeni ipo kazi...: Mnyika (ubungo), mdee (kawe), msigwa (iringa), shibuda, mpendazoe... Naona kwa kweli kutakuwa na kazi!

kwa hiyo hawa ndio wanafidia kukosekana slaa bungeni!!! Na hasara nyingine ni atakaposhindwa urais na dalili zinaonyesha!!!!!
 
kwa hiyo hawa ndio wanafidia kukosekana slaa bungeni!!! Na hasara nyingine ni atakaposhindwa urais na dalili zinaonyesha!!!!!
Utamlinganisha Mnyika na Rostam au Komba au prof. Maji marefu maana hivyo ndivyo vichwa vya CCM.
 
Back
Top Bottom