Nish
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 730
- 114
Jamaa kahisi kiu akaomba maji kwenye nyumba moja mtoto akamletea maziwa jamaa akanywa fasta kisha akamuuliza mtoto kwa nini amempa maziwa mtoto akasema panya alidumbukia hivyo hawayahitaji jamaa akashtuka akadondosha glass mtoto akapiga kelele mamaa ile glass ya bibi ya kutemea mate imepasuka jamaa lo! akazirai hapo hapo