NORMAL AND ABNORMAL CITIZENS?!!!! soma

MAGATA

Member
Jan 28, 2012
34
6
Naomba kujua raia wa kawaida(normal citizens) ni wapi? na wale ambao sio wa kawaida(abnormal citizens) ni wapi? maana imeshakuwa ni kawaida hususani kwa viongozi wetu na vyombo vya habari kutumia neno "raia wa kawaida" pale wawasilishapo hoja zao,sasa kama kuna raia wa kawaida basi kumbe wapo ambao sio wa kawaida pia.Napenda kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom