Nondo za CHADEMA leo bungeni kuitaka serikali iwajibike kutengeneza fursa za maendeleo ya vijana

Anawatetea wamachinga wasisumbuliwe na anataka tume iundwe kuchunguza madhara ya vurugu za Mbeya Mjini
Vijana si bomu tu bali ni WMD na limeanza kuvuja na taifa limeanza kuvuta sumu yake. Haka kakauli nimekapenda. Vijana wasio na ajira ni kweli ni weapon of mass destruction.
 
huju jenista anajua kiswahili kweli anakua kama anapunwa bana ananikera sana na takwimu zake........
 
Kipimo cha kitu gani wabunge vijana wanaweza kufanya bungeni kutuokoa sisi vijana wenzao kuchomoka huku vijiweni bila ajira ni jinsi gani watakavyoshupalia hoja ya kichaa wetu Mh Sugu huko Dodoma. Tunaendelea kufuatilia michango yao juu ya hili huko bungeni.
 
Chadema kiukweli mnamajembe si mchezo maana kila mbunge akisimama ni moto mkali. Naomba serikali ya Jakaya ili ipone na hasira za wananchi itumie mawazo ya wabunge Wa chadema
 
Back
Top Bottom