"Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi ambayo inamuwezesha na itaendelea kumuwezesha kukidhi mahitaji yake na ya wale wote wanao na watakaokuwa wanamtegemea.

Masharti yake kwa mchumba anayemuhitaji ni haya yafuatayo:
1. Awe muungwana pia awe na utu wa kujali wengine,
2.Awe mcha Mungu,
3.Awe na heshima kwa wakubwa na wadogo,
4.Awe amejiridhisha kuwa ni msichana asiyependa makuu na mrembo mbele ya wacha Mungu,
5.Awe tayari kuwa mwaminifu katika maisha yake yote kwa Non-Celebrity kama Non-Celebrity atakavyokuwa mwaminifu kwake pia,
5.1 Awe tayari kifikra kukabiliana na hali atayomkutanayo Non-Celebrity, na
6.Awe tayari kuishi maisha ya Kikristo.

Kwa maelezo zaidi unaweza kunitumia sms kupitia JF kwa kutumia " my username MpigaKelele"
 
kwanin amekua na NOTION YA NON CREBRITY?
WHATS UP?

km wakawaida angeanza na iyo non cersbrty?

atampata......atampata toka hollywood .

angeandka kawaida tu sasa vkorombwezo vya m non crbrty vnaleta tashiwshw nyng
 
Not interest

Siwezi kumdate
mwanaume ambaye
hana mbavu Za kuja hapa
Na kuomba mwenyewe...
Jamani hii ni
Computer
kama anaogopa kuja
Hapa na kuomba mwenye
Je anaweza kuongea na wewe personal?
Haya ni madharau..
na sifa zake ziko wapi?
Oooo he is just to good?
 
kwanin amekua na NOTION YA NON CREBRITY?
WHATS UP?

km wakawaida angeanza na iyo non cersbrty?

atampata......atampata toka hollywood .

angeandka kawaida tu sasa vkorombwezo vya m non crbrty vnaleta tashiwshw nyng

nimemuliza juu ya hilo, amenijibu kuwa Amejiita hivyo kwa maana njema tu ya kujidhihirisha kuwa yeye ni mtu wa kawaida kama ulivyodokeza. kuuhusu Tashwishwi inayeweza kuwa imebebwa na Jina hilo,amesema kuwa anatafuta mchumba awe Celebrity au asiwe celebrity iliradi (so long as) anayetafutwa akidhi vigezo alivyovitaja.
 
Not interest

Siwezi kumdate
mwanaume ambaye
hana mbavu Za kuja hapa
Na kuomba mwenyewe...
Jamani hii ni
Computer
kama anaogopa kuja
Hapa na kuomba mwenye
Je anaweza kuongea na wewe personal
?
Haya ni madharau..
na sifa zake ziko wapi?
Oooo he is just to good?

Amesema anaweza kuongea kama umekidhi vigezo.
 
kwa nini usiseme ni wewe kwani nani anakuona kwenye hizi keyboards?.......
mimi nina miaka 45 atanipenda?

Bahati mbaya ameishaondoka nilikuwanaye hapa ningemuuliza swali lako pia, Ila nadhani Kukupenda au kutokukupenda itategemea mtakavyoelewana mtakavyokutana.
 
Bahati mbaya ameishaondoka nilikuwanaye hapa ningemuuliza swali lako pia, Ila nadhani Kukupenda au kutokukupenda itategemea mtakavyoelewana mtakavyokutana.

hahahahahahah kweli
unavichekesho
jinsi unavyoongea ni kama unauza
maharage sokoni ....
im out.
 
Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi ambayo inamuwezesha na itaendelea kumuwezesha kukidhi mahitaji yake na ya wale wote wanao na watakaokuwa wanamtegemea.

Masharti yake kwa mchumba anayemuhitaji ni haya yafuatayo:
1. Awe muungwana pia awe na utu wa kujali wengine,
2.Awe mcha Mungu,
3.Awe na heshima kwa wakubwa na wadogo,
4.Awe amejiridhisha kuwa ni msichana asiyependa makuu na mrembo mbele ya wacha Mungu,
5.Awe tayari kuwa mwaminifu katika maisha yake yote kwa Non-Celebrity kama Non-Celebrity atakavyokuwa mwaminifu kwake pia,
5.1 Awe tayari kifikra kukabiliana na hali atayomkutanayo Non-Celebrity, na
6.Awe tayari kuishi maisha ya Kikristo.

Kwa maelezo zaidi unaweza kunitumia sms kupitia JF kwa kutumia " my username MpigaKelele"

Hata mimi natafuta mchumba mwambie anipm basi, hii lazima ni bahati yangu kabisa
 
Ahaaa ahaaaa huyu ana ID mbili na thanks anajigongea mwenyewe yaani anaanzisha thread kwa ID nyingine halafu anagonga thanks kwa ID nyingine dah kazi kweli kweli hebu angalia post namba 9 yaani ametumia ID nyingine kugonga kitufe cha LIKE wakati ni mtu huyo huyo

Huu ni
Ulaghai
JF inapoteza maana
Mtu kujingongea senks mwenyewe
Ndo mautumbo gani hayo hizo senks na likes
Zinapoteza umuhimu na maana zake..
 
Habari zenu wanaJF wa MMU!

Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
 
The Finest na Afro hapo juu tafadhalini ee huyu non-celebrity ndio mchumba ambae mungu alinipangia acheni kumkomalia asije kimbia bure mboni wabaya nyie lol, mtanikimbizia bana
 
Habari zenu wanaJF wa MMU!

Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.

Bora umejitokeza dia thatha ndio nasubiri jibu ujue, nina miaka 42 nakidhi vigezo mana hujaweka umri hapo? nijibu bathi kucha zitaisha kwa kuzitafuna hapa
 
Ahaaa ahaaaa huyu ana ID mbili na thanks anajigongea mwenyewe yaani anaanzisha thread kwa ID nyingine halafu anagonga thanks kwa ID nyingine dah kazi kweli kweli hebu angalia post namba 9 yaani ametumia ID nyingine kugonga kitufe cha LIKE wakati ni mtu huyo huyo

The Finest, you are truly the finest I could never have thought of this, hizi ndizo taarifa za kiintelijensia za ukweli maana kuna evidence, sasa huyu anamfurahisha nani na hivyo vi-thanks vyake, mwisho wa siku atajichumbia mwenyewe ili aonekane amepata mchumba. asante kwa kunifungua macho, nimebofya thanks na like for the job well done. namshauri (non celebrity=mpigagakelele) atengezeze ID ya tatu. couse hizi tumeshazi-note, but awe smrt asije umbuka tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom