Wachina kiboko hata U-houseboy bongo hawana hiyana!
Ipo ila naona imekingwa na mkono.mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli?
mkuu yaani hili tangazo limeniacha mdomo wazi kha?Hili tangazo la UNO safi kumbe nshajuwa wapi nimekosea mpaka sijapata maisha bora.
ameenda kuiuza chinamh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli?