Nokia N97 & 5800xmusic FOR SALE

Weka bei kabisa mkuu kabla hatujakupigia simu. Mbona watu mnakuwa wagumu kujifunza jinsi ya kupost matangazo humu. Aaaagrrr!
Ni kweli sijui ni makusudi au ndo kichwangumu ,ninavyojua unapouza kitu unatakiwa unaseme ni kitu gani,aina (model),kama ni kipya au kimetumika,kina tatizo au hakina,bei ,specs n.k,sometimes wanauzi sana hawa wasiotaja bei utafikiri ni siri za serikali
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom