Urgent Natafuta Nokia N900 kwa bei nzuri kwa yeyote aliyenayo contact m on 0719 757700.
Ongeeni biashara muexchange information,mkikubaliana itume simu kwe DHL kwa mtu wako wa karibu theni mnunuzi alipe hapo..halafu wewe mtu wako atakutumia pesa yakoMimi ninayo mkuu tatizo sipo kwa nyerere ningekucall na pia naiuza ni 32GB 5mp