NOKIA N8 Prices tafadhali!!!

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Wakuu nahitaji kununua NOKIA N8,ila kwa bahati mbaya mimi sio mzoefu wa mambo haya. Sasa naomba msaada wa kujua bei yake ikoje hapa bongo pamoja na ubora wake.

Msaada tafadhali.
 
Wakuu mbona mnapita mtaa huu kimya kimya?
Help please!
 
Mkuu,

hii simu ni range ya laki 6 or above ikiwa dukani mpya

mimi ninayo imetumika na ina accessories zake zote kwa laki 4 mwisho

ni best phone kwa matumiz ya kamera (12 Mp) inatumia Symbia OS, inakaa chaji vizur sana, na ina internal memory ya 14 GB

if interested email at: sjaphry@yahoo.com

-cheers
 
Back
Top Bottom