Nokia Lumia 920 and Lumia 820 has been released!

Samahani wadau,Iphone 5 imeshaingia sokoni?Kama ipo Inapatikana kwa bei gani Ulaya na Eastern Asia?
 
nakunbua kipindicha s60 wahindi ndio walio kua wakitazamwa sana na Nokia mpaka nokia hawakuwahi toa simu yenye namba 4 kwenye model No.
mfano kuna
Nokia N91,N92,N93,N95,N96,N97 hakuna N94 kwasababu Number 4 kwa wahindi ni unlucky Number, lakini sasa ana komaa na wamarekani na wadhungu wa urope na kukusahau wateja wake wa zamani.
Kama Nokia wakielekeza nguvu nchi za China, Brazil na India watapata mafanikio makubwa kuliko huko wanakoenda. sisi waaffrika ndo tusubiri mpaka Lumia nzingine zitoke ndo tununue hiyo 920 ikishukabei, nokia wajipange vizuri waje na low WP8 devices kwa waafrika
Nashauri waje na lumia yenye
screen 3.2", 3.5" au 3.7"
processor 1GHz
RAM 512
storage 4GB
Camera 5MP
Card slot
watoe haya mavitu waafrika hayatusaidii
NFC,4G na LTE,BLUETOOTH 4(2.1 kwetu inatosha) WIRELESS CHARGING,VIDEO ZA 1080p(720p inatutosha), PUREVIEW, GLONASS (A GPS inatutosa),HTML5(HTML inatosha),HD+(Nokia clear black inatosha) na HSDPA 42Mbps (7.2Mbps inatosha kwanza mitandal yetu hawajui kama kuna 42Mbps)

hapo watatushika waafrika

Yah well said said mkuu huo ndo mpango mzima
 
mbona galaxy kazidi mkuu... Then ukiuza n unayotumia now utafanikisha

ndo wale wale tu wote lao moja wanataka wanunue wadhungu tu, eti wana srma "MADE FOR HUMANS" sasa sisi waafrika wenye hali ngumu ndo wanatuletea vile vidudu pocket
 
hapo ndo ujue bado racism ipo!
 
Nimewatumia E-mail juu ya kututenga sisi wateja wa Afrika na Asia Kati. Wakinipa majibu nitayaleta hapa, kwa kawaida, wanatoa majibu baada ya masaa 24-48.
 
Am not a Nokia fan, but i wish to try out this phone nione touch screen response..
 
Walinipa majibu haya ya kisanii sanii.

From: ext-custservice.mena@
nokia.com To: wilguy44 Date: Sep 7 Subj: Nokia Careline - Willbard
Kimbori - Nokia Lumia 920 Dear Willbard, Thank you for emailing Nokia Careline. In response to your mail, first of all we
would like to thank you for your interest in
Nokia services and products, we want to
inform you that our target always is to
exceed your expectations and to achieve
your satisfaction. Regarding your suggestion we would like
to inform you that we totally took it into
consideration, and we will work hardly to
achieve your satisfaction. And here is the reference number for your
inquiry that would help us follow up on
your case. Kindly provide us with this No.
to be able to help you better. Reference no: 1-13230739272 Should you require any further assistance,
please visit Nokia contactus.
 
Nokia bhana!! nimeikuta hii kule Facebook kwenye page ya nokia
55558_280983765335668_826556454_o.jpg
 
nakunbua kipindicha s60 wahindi ndio walio kua wakitazamwa sana na Nokia mpaka nokia hawakuwahi toa simu yenye namba 4 kwenye model No.
mfano kuna
Nokia N91,N92,N93,N95,N96,N97 hakuna N94 kwasababu Number 4 kwa wahindi ni unlucky Number, lakini sasa ana komaa na wamarekani na wadhungu wa urope na kukusahau wateja wake wa zamani.
Kama Nokia wakielekeza nguvu nchi za China, Brazil na India watapata mafanikio makubwa kuliko huko wanakoenda. sisi waaffrika ndo tusubiri mpaka Lumia nzingine zitoke ndo tununue hiyo 920 ikishukabei, nokia wajipange vizuri waje na low WP8 devices kwa waafrika
Nashauri waje na lumia yenye
screen 3.2", 3.5" au 3.7"
processor 1GHz
RAM 512
storage 4GB
Camera 5MP
Card slot
watoe haya mavitu waafrika hayatusaidii
NFC,4G na LTE,BLUETOOTH 4(2.1 kwetu inatosha) WIRELESS CHARGING,VIDEO ZA 1080p(720p inatutosha), PUREVIEW, GLONASS (A GPS inatutosa),HTML5(HTML inatosha),HD+(Nokia clear black inatosha) na HSDPA 42Mbps (7.2Mbps inatosha kwanza mitandal yetu hawajui kama kuna 42Mbps)

hapo watatushika waafrika

Nokia led the Windows Phone 8 assault with two high-end parts - the Lumia 920 and 820 - with rumors that mid- and low-end parts will launch early next year. The first of these devices to enter the rumor mill was the Zeal with cut down 820 specs, now there's the Flame.
According to The Verge, the Nokia Lumia Flame will be a Windows Phone 8 device with a 4" screen (judging by the 820, it will likely have WVGA resolution). The chipset is said to be the same one as in the Zeal - dual-core 1GHz processor and 512MB RAM.
Other known specs on the Flame is a 5MP camera and 4GB of built-in storage with a microSD card slot

ungekua hujui kiswahili ningesema unafanya kaz nokia
 
sasa hiyo ndio yetu wabogo. wacha nianze kunza hela kwenye kibunu, ikitoka tu niidake!!
 
Back
Top Bottom