Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia E5

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbavu za Mbwa, Oct 7, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Salaam!! Ninataka kununua simu aina ya Nokia E5!! Huwa inakwenda kwa bei gani?? Nipo Tunduru jamani na sina access ya maduka ya simu. Kuna mtu nataka nimuagiza dar
   
 2. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwanza ni sh 65000 cjui sehemu zingine.
   
 3. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 678
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mwanza sehemu gani wanauza bei hyo?ni pm nami naitaka
   
 4. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,100
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mkuu unamaanisha 650,000?au unaongelea issue za mchina?lakini hata mchina 'feki' E5 ni zaidi ya laki. KUWA MAKINI! oldonyo;mwanza ni sh 65000 cjui sehemu zingine.
   
 5. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  phone house karibu na pamba secondary nilienda kununua na rafiki yangu.nokia e5
   
 6. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  haiwezi kuwa elfu 65000 hata kama ya wizi...by the way nakushauri pia usinunue mchina bota ununue simu ya tochi...tatizo upo mbali ningekutafutia ya mtumba fasta hapa bongo
   
 7. j

  josef777 New Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mi nauza orginal 270000 ipo kwenye hali nzur bei negotiatable
   
Loading...