Nokia e5 inahitajika.

Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile
 
Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile

Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom