Nokia asha 200 for sale!!

ifams

Member
Jun 22, 2012
36
0
nokia asha inauzwa kwa bei nzuri.. bei yake ni Tsh120000/= ni used imetumika mwezi moja tu. kama unataka kununua piga simu no;0778005506.asante
 
wala ni laki moja na elfu ishirini anko bei inapungua..thn scofied usijitafutie soko kwa mgogo wa mwenzio
 
nokia asha inauzwa kwa bei nzuri.. bei yake ni Tsh120000/= ni used imetumika mwezi moja tu. kama unataka kununua piga simu no;0778005506.asante

Ndugu Ifams,
hizo nokia Asha 200 zipo za rangi tofauti tofauti nne. Je yako ni ya rangi gani? unapatikana wapi? unazo ngapi? Nipo Morogoro wewe wapi?
 
mkuu me nipo arusha,nnazo nyeusi na puple ni mpya 130000@
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom