NOKIA 5800 Music express touch screen

Mbava

Member
May 18, 2011
30
1
Habari wana Jf bila kumsahau guta. Kuna hii simu ya Nokia 5800 music express, touch screen ya korea ina ubora ule ule kama za Europe?
 
labda kama ungeweza kutoa betri,upige picha kile kikaratas cha ndan kinachonyesha made in wap then uweke hapa ili uweze kuhakikishiwa kama ni fek au la!au jaribu ile code ya *#0000# uone kama itakuletea info za cm,ispoleta ni mchina na umeliwa!
 
Back
Top Bottom