Nokia 5310 xpress music

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakuu habari za kazi,poleni na majukumu.
Naombeni msaada kuhusu simu yangu naona imenigomea kimtindo
gafla tu nashangaa imeniandikia phone restricted,sasa ukibonyeza Undo Inaniambia ni enter restriction code,plz yeyote anayeweza kunisaidia.
Nawasilisha
 
mkuu kama imegoma gafla nadhani itakuwa ya ku-unlock kwa kutumia vifaa maalum vya ki-ufundi zaidi ya hapo tusubili wachakachuaji watakuchakachulia hizorestricted code fasta.
 
duuh! Poa mkuu
 
kama vipi jaribu ku-restore settings au iformat kabisa..*#7780# jaribu iyo code
 
Halaf hz simu za kijinga sana. Cku zikiamua kugoma zinagoma kweli.
Mi yangu natamani niitupe.
 
husniyo hamna wangu,mimi nnavyo zijua hizi simu taabu yake huwa ni housing tu yaani unakuta zile batani za kushoto za musik ndizo huwa zina haribika upesi. mimi yangu hapa nimeifunga na rababendi lakini mawasiliano,internet ni kama kawa. jf full time nipo online.kama vipi nipe mimi hiyo simu nitakupoza na pei kidogo.
 
kaka umenichekesha sana,ila kanunue hzo batani zinauzwa 9000
 
husniyo hamna wangu,mimi nnavyo zijua hizi simu taabu yake huwa ni housing tu yaani unakuta zile batani za kushoto za musik ndizo huwa zina haribika upesi. mimi yangu hapa nimeifunga na rababendi lakini mawasiliano,internet ni kama kawa. jf full time nipo online.kama vipi nipe mimi hiyo simu nitakupoza na pei kidogo.
kama unaitaka tufanye biashara. Unanipoza sh ngapi?
 
Wakuu habari za kazi,poleni na majukumu.Naombeni msaada kuhusu simu yangu naona imenigomea kimtindogafla tu nashangaa imeniandikia phone restricted,sasa ukibonyeza Undo Inaniambia ni enter restriction code,plz yeyote anayeweza kunisaidia.Nawasilisha
Izime then bonyeza * , 3 na batan ya kijani kwa wakat mmoja bila kuachia then iwashe hadi iwake ndo uachie hzo batan.
 
bac hizi sim ndo mchezo wake(a bug i may say) maana nilikua nayo almost a year ago nika2mia kwa mda ikaanza kuwa inaomba hii code ila ukizima kwa mda flan ukaiwasha haiombi tena,badae tena inaomba hivo hivo nikaenda nayo. Badae ikaanza browser kustuck,music files kufungua player inajam, mara unaongea au unaitumia inatoa mwanga mweupe tu afu inazima. Nikakomaa nayo tu (i'm very persistant) mpaka siku ilitoa mwanga mweupe ikatoa mistari mistari kwisha habari yake. Kwa fundi ukienda jiandae kutumia gharama za kununu simu nyingine,maana nakumbuka nilitumia like 80,000/= (i hate getting new 4nes and setting it to fit my style) ikawa inaharibika tena nikampa fundi nikamwambia anipe 5000 tu,nikachukua memo nikamalizana nayo! Kiufupi hizo sim sio nzuri (sio nzuri mwishoni. Mwanzoni ni paradise.)
 
Back
Top Bottom