Nobody Knows

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
953756c57d7558b70cb7577476ef4848.jpg
 
True huwa nashangaa sana MTU anadhulumu uhai wa MTU kisha Mali utadhani ataishi milele yuko WAP idi amini, bokasa,Osama,Hitler nk hii yote ni sababu ya ufinyu wa mawazo dunia ni sawa na daladala unakufa anazaliwa mwingine
 
Snowden kasema Osama mzima
 
na hapo ndipo nautafuta umuhimu wa uwepo wa binadamu naukosa. heri wangeumbwa wachache wenye faida kuutawala ulimwengu na vilivyomo wenye IQ kubwa kama vizazi vya kale wanaosimuliwa na historia kama wataalam wa Philosofia, Fizikia, Sayansi, Unajimu n.k ili kuondoa msongamano na mateso ya kiakili huku hatujui kesho yetu!!! nawaza tu kwa mujibu wa uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom