Noah NNE kuupaisha Mlima KILIMANJARO

NAKUBALIANA NA MTOA HOJA ila ukiwa wa kwanza au katika maajabu 7 watalii wataongezeka? mm ni mwenyeji nipo chini ya Mlima huo lakini hao watalii wote huwa hawaachi lolote ila doller zinazokwenda TRA na vijana wetu wapanda milima ni kunywa na kulewa tu.
Nipeni angalau sababu moja tu kwa nini Mlima Table mountain ulitushinda wakati mm niliupigia mlima wangu, ina maana hizo msg haziendi kwa watayarishaji zinabakia kwenye makamouni yetu ya Voda Tigo Airtel na Zantel?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom