Noah inaizwa

wmakishe

Member
Jan 18, 2011
59
53
Naiuza NOAH kwa bei ya Tzs 9.5 million tu. iko ktk hali nzuri sana. Ni mali yangu na ninaitumia mimi mwenyewe kwa kuenda ofisini na kurudi home hapa Dar. haifanyi (haijawahi kufanya) biashara ya kubeba abiria. Namba zake BHT (bahati hiyo), ni nyeupe, imetengenezwa Japan (sio China) mwaka 1999, function zote ziko OK! Iwahi mapema kama unaitaka. Mimi sio Dalali , gari ni langu. Ni PM kama unataka NOAH !
 
Asante kwa biashara ya Noah,japokuwa sijaona picha yake ila mi nakupa 8.5M
Hapo vipi, tufanye biashara bwashe!
 
Ningependa kutumia ukurasa huu kuwapa ushauri wadau wa magari, siku nyingine unapoagiza gari kumbuka date of manufacture iwe kuanzia mwaka 2000 kuja 2011.
Ni ushauri tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom