Noah ianahitajika haraka

mzawahalisi

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
752
237
natafuta gari aina ya NOAH ya bei nafuu, inahitajika mapema iwezekananvyo mwenye nayo tuwasiliane mob: 0784 64 85 24.
 
Hiyo bei nafuu ndo nini. Mimi ninayo ya 2001. Imeingia nchini october 2010. Unatoa ngapi?
 
Ninayo ya mwaka 2002 imeingia mwaka huu Feb Bei 19M inaanzia +255784669533 ni ya Silver Kilomita 60000
 
Ninayo ya 2001 imeingia nchini septemba 2010 kama una 13m nipm. Bei haipungui katu
 
akiri, hiyo ni noah au vitz/nissan march! utapata wapi noah ya 2004 kwa dola 6,500/=!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom