noah for sale 12.5million

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari

wana JF ninauza noah white kwa sh million 12.5 kwa atakae itaji call or txt 0716-369299
 
habari

wana JF ninauza noah white kwa sh million 12.5 kwa atakae itaji call or txt 0716-369299

Angalia na hii nayo isije kuwa mwenyewe yupo humuhumu JF. Maana naskia we ni dalali, basi hapo utakuta mwenyewe anataka 11.5M we umeongeza cha juu 1.
 
Angalia na hii nayo isije kuwa mwenyewe yupo humuhumu JF. Maana naskia we ni dalali, basi hapo utakuta mwenyewe anataka 11.5M we umeongeza cha juu 1.

Hahahah kaka mm sio dalali ila ukipenda kuniita ivyo sawa coz mwenye gari analiuza 12.2 million. Ila ukimwambia mtu aje na 12.3 atakuja na 12 ndo maana inauzwa 12.5 maongezi hadi 12.3
 
Hahahah kaka mm sio dalali ila ukipenda kuniita ivyo sawa coz mwenye gari analiuza 12.2 million. Ila ukimwambia mtu aje na 12.3 atakuja na 12 ndo maana inauzwa 12.5 maongezi hadi 12.3

Mkuu hapo kwenye red unasemaje? Kwani kuwa dalali ni dhambi mkuu. We kubali tu, afu jamaa anaulizia ile GX 100 ya jamaa vipi ushauza au jamaa aliwaka sana?
 
Mkuu Noah zimeshuka bei sana labda uwakamate wajinga wajinga.Soko la Noah limeharikiba baada ya serekali kuzipiga marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa taarifa yako Noah bei yake sasa ni kati ya 8 mil - 6 mil.
 
Mkuu Noah zimeshuka bei sana labda uwakamate wajinga wajinga.Soko la Noah limeharikiba baada ya serekali kuzipiga marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa taarifa yako Noah bei yake sasa ni kati ya 8 mil - 6 mil.[/QUOTE

bora umempa ukweli wake...........huenda hiyo nayo ilikuwa daldala au iliagizwa kwa kazi hiyo sasa mambo yamechacha. pole mkuu mambo yameharibika noah zilikuwa zimefikia m 15 lkn now ukienda kidongo chekundu m9 unaipata saaafi kabisa mkuuu
 
Back
Top Bottom