Noa

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
ndugu zangu kwa mwenye taarifa anaweza kutujuza kama hawa jamaa wa national audit office wameshaanza kuita watu au bado tusubilie

naomba kuwasilisha
 
Ni NAO mkuu,nafikiri bado.Kwa kawaida watakuja kushortlist na kuwasiliana na wataopenya.
 
Nadhan wamemaliza kushort list subili cku c nying watatoa majina ya walioshortlisted... angalia magazeti ya serikali na hasa dailynews ya next week
 
NAO hawahusiki katika zoezi la kuajiri, wanaohusika ni sekretarieti ya ajira ktk utumishi wa umma
 
Back
Top Bottom