No wonder bei ya petrol na diesel iko juu

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Leo nimepokea kwa masikitiko juu ya demurrage ya meli za mafuta bandari ya DSM ni dola 18000 ambayo ni sawa na kama 27.3million za kitanzania ie todays evening news
Kisa hakuna boya kwa ajili ya kulikabili ilo as a result kuna meli zinakaa kusubili kushusha mafuta sometimes mpaka mwezi mzima ni kama 800mil sasa unatarajia bei ya mafuta ishuke.
Kumbe mambo mengine ni yetu uku uku Tz hayahusiani kabisa na bei katika soko la dunia.
According to tipper meli kukaa mwezi mzima ni jambo la kawaida.
Wadau husika work on that please izi bei za mafuta zinazopaa kila siku hatutafika.
 
Back
Top Bottom