N Nanu JF-Expert Member May 29, 2009 1,222 68 Oct 8, 2009 #4 Hao tembo lazima wanakuwa escorted kwa hiyo anayewapeleka anahakikisha masharti yanafuatwa!!!!
Mwana va Mutwa JF-Expert Member Jun 9, 2009 459 53 Oct 8, 2009 #5 kwani tembo wote wanauzito unaofanana mpaka waseme wawili kwa wakati mmoja?