No taxation without representation

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Je wananchi wa kwenye majimbo ambayo wabunge wake wanatolewa nje ya bunge wakigoma kulipa kodi kutakuwa na kosa?
wamemtuma mwakilishi wao ili asimamie kodi yao, leo bunge linaamua kumuondoa mwakilishi wao nani atasimamia maslahi yao?
 
Hivi Tanzania kuna link ya kikatiba au kihistoria kati ya taxation na representation ? Au ndiyo "global warming" yenyewe tayari?

Hao wenyewe waliosema huo msemo mji mkuu wao watu wanakuwa taxed na federal government bila ya kuwa na kiti bungeni.

Not that I am advocating "taxation without representation". Heck, I don't even advocate for the necessity of the nation-state that organizes the whole taxation hoopla in the first place.
 
Back
Top Bottom