jrmlaurence
Member
- Dec 2, 2010
- 80
- 57
tena na nguo ameshavua.hahahahaha jamaa anatia huruma kweli
ana bahati jamaa sio Mkurya,mke angechezea kichapo cha mwizi hahaha!tena na nguo ameshavua.
Huyo mwnmk mjanja sana kwa kuunda hiyo spin board! 'No sex' ni nyingi zaidi kuliko 'sex' kiasi kwamba liduara la mbao likisimama lazima lisimamie kwenye 'No Sex' Si ajabu huyo mama ni Mchaga!