No one is perfect,utaacha wangapi?

MBWAMBOs

Member
Nov 25, 2011
23
1
Hakuna sugu katika mapenzi kila mtu atapata mjanja anayempenda uvumilivu,subira ni vitu muhimu katika mapenzi,watu wengi huona wenzi wao hawafai pale tu wanapo wakosea huamua kuwaacha lakini tu jiulize wewe hukuwahi kufanya kosa lolote katika maisha yenu.Hakuna aliyekamilika,kaeni jadilianeni kwa upole mtapata muafaka.
 
Nani kakudanganya hamna watu perfect?Speak for your self pal.

Kuhusu kuacha na kuachana hatuwezi wote tukaishi kwa kanuni moja.Ndio maana mimi sio wewe wala wewe sio mimi.Na tofauti hizo ndo zinafanya unaona kuna wavumilivu wenye mipaka yao. . . .ving'ang'anizi wasio na mipaka pia wanaotanguliza mipaka.
 
Nakubaliana na wewe kuwa uvumilivu, subira ni vitu muhimu ktk mapenzi!! But uwe na point of ENOUGH before u loose control, too much is harmful!!!
 
Aliye perfect ni Mungu peke yake. Au labda tupate ufafanuzi nini maana ya perfect kutoka kwa mleta hoja na kutoka kwako.
 
Ni kweli ila mengine hayavumiliki. Kama umemrekebisha mwenzi wako zaidi ya mara moja ila bado anarudia kosa hapo unatakiwa ufanye maamuzi ya kuliacha hilo penzi.
 
Wewe mtoto subiri basi hata meno yaote uanze haya maneno.

Nani kakudanganya hamna watu perfect?Speak for your self pal.

Kuhusu kuacha na kuachana hatuwezi wote tukaishi kwa kanuni moja.Ndio maana mimi sio wewe wala wewe sio mimi.Na tofauti hizo ndo zinafanya unaona kuna wavumilivu wenye mipaka yao. . . .ving'ang'anizi wasio na mipaka pia wanaotanguliza mipaka.
 
Muda mwingine mtu unavumilia hadi basi. Unaishia kuwa ni mtu wa mateso milele yote, sidhani kama Mungu wetu amemuumba mtu kulia milele yote. Na ndio maana watu huamua kuachana.
Nahisi pia hujawahi kukutana na hali ambayo umechoka kuvumilia!!!! Usijali ukiipata siku moja ndo utajua nilikuwa namaanisha nini!
 
Mengine hayavumiliki hata kidogo. Mtu anafanya kosa makusudi ili aje kuomba msamaha.
 
uvumilivu unamwisho wake hata kama mtu unamapenzi kiasi gani,there is a limit to wat someone can take in the name of love
 
Real no 1 is perferct..hebu fikiria ni nani anayeweza* kuokota jiwe na kumpiga mwenye dhambi,kama uliyemwona ni perfect basi huyo anapretend tu na hujamfanyia assessment za kutosha. Be care
 
Hakuna sugu katika mapenzi kila mtu atapata mjanja anayempenda uvumilivu,subira ni vitu muhimu katika mapenzi,watu wengi huona wenzi wao hawafai pale tu wanapo wakosea huamua kuwaacha lakini tu jiulize wewe hukuwahi kufanya kosa lolote katika maisha yenu.Hakuna aliyekamilika,kaeni jadilianeni kwa upole mtapata muafaka.

Haswaaa
 
Real no 1 is perferct..hebu fikiria ni nani anayeweza* kuokota jiwe na kumpiga mwenye dhambi,kama uliyemwona ni perfect basi huyo anapretend tu na hujamfanyia assessment za kutosha. Be care
Yeahh. . . jipe moyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom