Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,295
Watanzania hata mkisema mabaya kuhusu rais mkapa ukweli bado unabaki palepale kuwa makapa amefanya kazi kubwa sana ukizikingatia aliichukua nchi ikiwa katika mdororo mkubwa kiuchumi.
Enzi za mkapa thamani ya pesa ya kitanzania ilikua juu, vyombo vya habari vilikua na nidhamu, uongozi ulikuwa strict na matumizi ya serikali yalithibitiwa, safari zisizokuwa za maana hazikuwepo ukilinganisha na sasa bajeti inayoyumika katika safari za viongozi inatosha kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali.
Kwa kifupi naweza kusema mkapa was a hardwork and inteligent as well as serious with his presidential position
Unajua hata maneneno ya kiongozi yanatakiwa yawe na busara, mfano speeech ya rais Kikwete kwa TUCTA kwa kweli sikutegemea kusikia maneno ya kashfa yakitoka mdomoni wma kiongozi mkubwa wa nchi ambaye nchi nzima ilimtizama. Mfano maneno kama wanafiki, wazandiki, wana lao jambo, sielewi huo msemo upo kwenye taarab ama la ila kama rais akizingatia dhamana aliyopewa na wananchi hakupaswa kutumia maneno kama hayo.