Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Ebo kumbe kuna umuhimu wa kutest gari kabla hujalikubali lol!dada ana haki ya kugomea ndoa mtu mwenyewe hajui na hataki kujua pia,kwan angetaka kujua angekuwa mpole dada akamwelekeza nn anatakiwa kufanya ili dada naye aenjoy lenyewe linaleta kufokafoka,namsifu dada kwa kumvumilia amchafue usiku mzima,km jamaa ananonekana hataki kujua kosa lake na kutafuta suluhisho dada sepa zako mbona vidume kibao utampata mwingi raha mapakaaaa!