No more Nyumbani Hotel at Mwanza

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Kutoka chanzo kilicho rasmi ile Hotel maarufu sana jijini Mwanza iitwayo Nyumbani hotel Resort iliyopo jengo refu kuliko yote jijini Mwanza imefungwa rasmi jana! :shock: Mwenye data zaidi ashuke hapa!
 
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:.............
 
Zinafungwa hotel zao zote au ni hiyo ya mwanza tu, maana wanazo sehemu kadhaa nchini Tanzania na Kenya pia!
 
mkuu

tujuze sababu za kufungwa kwa hoteli hii ya nyumbani resort
 
nyumbani hotel ndo hotel dr. slaa anafikia anapokuwa kikazi kanda ya ziwa na ndipo alipo patia ajali ya mkono. vipi inawezekana hiyo hali imekaa kisiasa zaidi. ngoja tusubili. Mia
 
Wameipeleka moshi, philips hotel ya zamani imekuwa nyumbani hotel. Mkabala na iliyokuwa moshi(livingstone) hotel.
Habari ndo iyo.
 
Sidhani kama ni kweli. Hiyo ya moshi imekuwepo kwa muda sasa alongside ya tanga na dsm.
Usishangae ukikuta ni fitna za tfda!

acha fix,hyo ya moshi haina hata mwaka,iko karibu na malindi club.over
 
Back
Top Bottom