No half Revolutions: Resignation or dissolution is not enough; The parliament should go too

Napenda hasa kuwaambia vijana kuwa bila kufanya maamuzi magumu tutaishi maisha magumu sana!
 
thats is exactly what I'm trying people to change.. how many "one steps" are you going to take. Unajuatumeshachukua hizi "hatua moja" mara ngapi tangu 1990? Tukianzia na wakati wa Mwinyi hadi hivi sasa tumepigishwa hili kwata na hatujui tunapiga kwata!
Kwanza Mzee Mwanakijiji ukitaka kujua kwamba hoja yako haikubaliki ni jinsi inavyododa kuchangiwa na kejeli za watu kwa lugha uliyotumia.

Kuhusu kubadili mfumo watu ni lazima wajue kwamba matatizo yao hayadondoki toka juu bali yanatokana na kile kinachotengenezwa na mfumo uliopo. Kama leo Kanisa Katoliki litabadili mfumo wake Mapadre kutokuoa na Watawa kutokuolewa, basi kesho haitakuwa ajabu kuona Mapadre na watawa wa kike wakioana. Na mfumo ni Katiba na si utashi wa waliopo madarakani.

Nimeishi kwenye Kambi ya Polisi kwa zaidi ya miaka 10 kabla na baada ya Rushwa kuwa ni kitu cha kawaida kwa Matrafiki.
Polisi wa Trafiki wana mfumo wao (Syndicate) kuanzia kwa Mkubwa wao kabisa hadi kwa Trafiki wa kawaida. Natolea mfano kwa trafiki wa Dar es salaam wanaoishi kwenye Kota za pale Sokoind Drive na kufanya kazi chini ya RTO mwenyewe.

Trafiki wa kawaida humpa Meja wa Kambi ili apangwe kwenye kituo chenye maslahi, Meja wa Kambi ni lazima ampe OCS mgao ili na yeye aendelee kuwa Meja wa Kambi, OCS naye anampa RTO kitu kidogo ili naye ajue kwamba "anafanya kazi" na RTO anampa Mkuu wa Kikosi cha Trafiki Taifa fedha kama shukrani ya kumweka Dar.

Siku moja mmoja wa IGP aliwahi kuagiza Trafiki aliyekuwa Ubungo ampelekee trip sita za Kokoto kwenye "site" yake bila hata kumpa senti tano tena kwa kutumia redio za Polisi ambazo zinasikiwa na watu wengi. Kwa hiyo hapa ili kuuvunja huu uozo ni kuivunjilia mbali hii Idara ya Usalama Barabarani!! Hivyo hivyo kwa CCM bila kuiondoa hakuna kitu.
 
Mwanakijiji sisi wengine tukisema nchi hii imejaa wanasiasa wababaishaji tunasakamwa kama tumefanya nini sijui!!Naamini hata hao unaotarajia wasimamie hayo Mapinduzi wanayahofia hayo mapinduzi. Wengi wetu ni rahisi sana kulaumu lakini hatuko katika kutoa utatuzi kwa yale tunayoamini kwamba ni makosa yanayofanywa na walioko madarakani.

Kwa Mfano mimi naamini kufeli kwetu kunatokana na kila jambo katika nchi hii kufanywa kutoka serikali kuu, ufumbuzi mmoja ni kutumika kwa mfumo wa kimajimbo ambayo ni sera ya CHADEMA tangu 1995.Lakini mpaka leo hao CHADEMA hawajawahi kutuambia kama ni majimbo basi yatakuwa mangapi na yataendeshwaje na nafasi ya serikali kuu itakuwaje. Serikali za mitaa nazo haziko mikononi mwa wananchi ingawa lengo la kuwepo kwake lilikuwa ni wananchi wamiliki serikali zao wenyewe, Hapo pia tunahitaji mabadiliko makubwa.

Tunahitaji kuufumua na kuweka mfumo mzuri wa kukusanya na kugawana Kodi. Watanzania wengi sana hawalipi kodi kutokana na kutokuwepo kwa mfumo mzuri wa kukusanya kodi na mfumo dhalimu wa kugawanya kodi inayokusanywa. Sehemu kubwa ya kodi inayokusanywa Tanzania ni ile kodi ya uficho (indirect Taxes) lakini watanzania wengi hawalipi kodi nyingi sana kwa sababu mifumo ya kukusanya ni dhaifu mno na walaji wa kodi hiyo ni wengi sana na hakuna anayejali badala yake tunashindana kuingia tupate na siye pande letu.

Mapinduzi ya kweli yatataka wagombea ubunge waweke wazi matumizi ya fedha zao kwenye Kampeni jambo ambalo haliwezekani kwa hawa waliopo bungeni. Pamoja na hali ya watanzania wengi kutaka mabadiliko wabunge wengi sana wanajua kuanza tena mchakato wa kuomba kugombea kupitia chama chao hautakuwa mchakato rahisi tena kwani huko "nje" wataka ubunge wamekuwa wengi.

Mapinduzi ya kweli yatatoka kwetu sisi wananchi wa kawaida kwani ndivyo ilivyokuwa Ufaransa na hata Zanzibar!!
Mapinduzi yanakuja naturally.
Hakuna chama kitacholeta mapinduzi Tanzania. Kwa sababu watu hawajali ni chama gani unatokea kwani vyote vina wezi na wabadhirifu wa fedha.
You can write books, conduct seminars and travel all over Tanzania. But change comes from the hearts of people, not from Politicians. Once politicians (especially career politicans) get involved, the revolt will loose its meaning.
I still don't believe CDM is the right Party, and I will keep telling my people that.
 
Na mimi naamini katika mapinduzi yanayotokana na watu na siyo vyama vya wanasiasa. Ufaransa na Zanzibar wanasiasa hawakuhusika ingawa mwishoni walijinasibisha na mapinduzi hayo!!
 
Mwambieni Zitto! Anadhani mapinduzi yataletwa kwa msaada wa CCM.
 
Mwambieni Zitto! Anadhani mapinduzi yataletwa kwa msaada wa CCM.
Anajidanganya sana. Lakini tatizo la Zitto hataki kuonekana na "marafiki" zake kwamba ni adui yao!! hivi unadhani Zitto anaweza kusimamia mchakato wa kumtoa Kikwete madarakani!!??
 
Maajabu, but seem like wazo zuri, if a man want fire then give him a fire but if a man wants peace give him peace, kujiuzuru kwa serikali ni peacefully meanz lakini kama hawataki then what next, Hii inawezekana kwa Nguvu ya umma. Do we all accept kwamba huu ni upepo unapita? if not why should be consider mapendekezo hayo
 
Kwanza Mzee Mwanakijiji ukitaka kujua kwamba hoja yako haikubaliki ni jinsi inavyododa kuchangiwa na kejeli za watu kwa lugha uliyotumia.

Kuhusu kubadili mfumo watu ni lazima wajue kwamba matatizo yao hayadondoki toka juu bali yanatokana na kile kinachotengenezwa na mfumo uliopo. Kama leo Kanisa Katoliki litabadili mfumo wake Mapadre kutokuoa na Watawa kutokuolewa, basi kesho haitakuwa ajabu kuona Mapadre na watawa wa kike wakioana. Na mfumo ni Katiba na si utashi wa waliopo madarakani.

Nimeishi kwenye Kambi ya Polisi kwa zaidi ya miaka 10 kabla na baada ya Rushwa kuwa ni kitu cha kawaida kwa Matrafiki.
Polisi wa Trafiki wana mfumo wao (Syndicate) kuanzia kwa Mkubwa wao kabisa hadi kwa Trafiki wa kawaida. Natolea mfano kwa trafiki wa Dar es salaam wanaoishi kwenye Kota za pale Sokoind Drive na kufanya kazi chini ya RTO mwenyewe.

Trafiki wa kawaida humpa Meja wa Kambi ili apangwe kwenye kituo chenye maslahi, Meja wa Kambi ni lazima ampe OCS mgao ili na yeye aendelee kuwa Meja wa Kambi, OCS naye anampa RTO kitu kidogo ili naye ajue kwamba "anafanya kazi" na RTO anampa Mkuu wa Kikosi cha Trafiki Taifa fedha kama shukrani ya kumweka Dar.

Siku moja mmoja wa IGP aliwahi kuagiza Trafiki aliyekuwa Ubungo ampelekee trip sita za Kokoto kwenye "site" yake bila hata kumpa senti tano tena kwa kutumia redio za Polisi ambazo zinasikiwa na watu wengi. Kwa hiyo hapa ili kuuvunja huu uozo ni kuivunjilia mbali hii Idara ya Usalama Barabarani!! Hivyo hivyo kwa CCM bila kuiondoa hakuna kitu.

hapo umenena mkuu.
 
Anajidanganya sana. Lakini tatizo la Zitto hataki kuonekana na "marafiki" zake kwamba ni adui yao!! hivi unadhani Zitto anaweza kusimamia mchakato wa kumtoa Kikwete madarakani!!??
He never mentioned the president who, according to our outdated constitution can discipline an irresponsible minister in a heartbeat!!
The flimsy reason behind him not mentioning the prez, is the majority needed and the unwillingness of the Majority camp MPs. This is just dumb because, PM cannot constitutionally oust a minister.
Another group of government leaders that always get away with things is Principal Secretaries, no one is talking about them as if they are saints.
It's the "People" that will bring about change.... the rest is just bullshit!
 
We have a long way to go! Most of Tanzanian have fear! a fear that if we get rid of CCM what will happen. That is fear for change planted in mind of Tzs for CCM's advantage. I strongly beliave a day is coming where CCM will be kicked out of power. Like a chines proverbs " a thousand mile journey begin with the fist step"

As long as we have realize that CCM is wicked politicaly and individually things will never be the same again. Changes will come and we shall them. Lets keep up a good fight and make sure we don fall in the same pit.
 
I 100% support that, everything gotta go now, lets go back to election, because by not doing so we'll be just playing in the same pool always!!!!!!
Why dont we change the system of electing our Ministers so that the president could have a wide range of picking people to the position.
 
Lets not demand too much!.

Pasco.
Don't settle for less
Don't settle for less than your best
don't settle for less than you deserve
I'll not settle for less
I can see your fear,you have your very own interest Pasco,Your boss(EL) is not ready for the race now .
Get another boss choose the right side brother
OR ask the guy to confess ,say that Richmond was not his and reveal the real owner..I'm tell me he will be the next our President as far as I know Tanzanian....I hope that is his next move I can see he already started sending his boys to CDM..what are you waiting for Pasco.
 
Tumefikia hatua ya kuonewa huruma, wananchi hatuko tofauti na wabunge wetu, mawaziri na rais. wote tunalalamika na tumeshazoena sasa tunarubiria tu nani ataanza kulalamika. Safari ndefu.
 
Why dont we change the system of electing our Ministers so that the president could have a wide range of picking people to the position.

you are still looking at the president as one look at a king... our president is not a king...
 
Ukipewa shubira, usichukue pima!. Moja shika sii kumi nenda rudi!. Mtaka yote kwa pupa hukosa yote!.

Mkuu Mzee Mwanakijiji, acha kwanza tuanze na madogo ndipo twende kwenye makubwa, haya unayoshauri wewe ni makubwa kuliko kukosa yote, afadhali tukishike hiki kimoja cha leo kuliko ahadi ya kushika kumi siku inayoitwa "kesho" kwa vile haipo!.

Safari ni hatua, kwa vile hii move ya Zitto ni mwanzo wa hatua, tukubaliane ni dalili njema ya kiashiria cha mwanzo mwema wa safari ya ukombozi wa kweli wa Mtanzania!.

Lets not demand too much!.

Pasco.
binadamu anayeishi kwa ajili ya leo hana mipango ya kesho wala keshokutwa, akipata kipande cha mkate leo, anatafuta pa kulala! je watoto wake pia watakuwa kama yeye kwa makosa yao au ya kwake yeye mzazi wa leo ambaye anangngania mkate wa leo tu?
 
Oh Lord, from these exchanges I realize we have a very long way to go.We are being hit left, right and center but some of us do not understand who is it that is hitting us! It is a shame really.
 
Back
Top Bottom