no girls allowed, strickly for men

si useme tatizo lako sio dada yake bali ni udomo zege wako....:shetani:

Wewe si umeambiwa ni kwa wanamume tu! Mbona wanawake wa siku hizi mnapenda kurukia mambo?

Na wewe muanzisha mada, hili sio jambo la kutuita wanaume. Ni jambo la kujadili na wavulana wenzako na vidada visivyo na kazi maalum. Mi nilijua kuna ishu ya kiume kweli, kumbe ni balehe zinasumbua watoto
 
anza ku datenae kwa kumuita
aje ulipo kama ni bar au cinema
unaanza out nae taratibu
jifanye na wewe humjui dada yake
siku ikijulikana jifanye hukujua na huoni why usimuoe kwa ajili hiyo

Boss nakubaliana na wewe mkuu but kuna kipengele hicho cha kujifanya hamjua dada yake sikiafiki.

doing that ataonekana ni mnafiki kwani huwez jua pengine huyo binti anajua ila yy kaka hajui kama anajua. hili liko kwenye moyo wa binti zaid kuliko wa kaka.

aendelee kutake steps but awe 50-50 kwamba ainikubali poa akinimwaga poa.
 
bishanga hata teknik za kutongoza nshasahau,maana ni long long time,labda niseme tu..follow your instinct na usikimbilie mawazo ya kuoa afterall you are only 25,subiri ufikishe kwenye 30.
 
mahabuba wangu nimekumiss niaje
Yaani naona kama muda hauendi vile
Huyu mwache kwanza maana naona ndio kwanza anaingia kwenye anga za mapenzi bado kabisa hajajua kuwa mapenzi yanaendaje
Zile mbinu ni za hali ya juu sana

Sawa babe wangu nimekuelewa....naona umeshampa ushauri mzuri sana,kazi kwake. Mbona hufiki sasa?
 
Mkata kiu umebagua na wataka tu wa kaka/baba hapa. But nina la kusema pia tokana na mtazamo wangu. Hapa nadhani haijalishi tena ni kwanini kakako alimbwaga huyo dadake unae m admire. Inaweza onekana mzaha, ila from experience na the way nimeona kwa wengi Mapenzi hayawi in Isolation. Kwamba maadamu wewe na huyo dada mwapendana basi inatosha…. Hapana.

Kama unampenda na una hope na Imani kabisa kua unafikiria siku moja umuoe then kwa kweli inabidi mresolve hio issue ya chuki kwanza. Waweza hata mtafuta dadake kuomba uongee nae kuona ana msimamo gani dhidi ya mawazo yako. Kama ni kwa ajili tu haya mambo ya Girlfriend na Boyfriend na hamna hakika na the future of the relationship then naamini hapo mwaweza ingia katika mahusiano. Hata hivo hapa umetoa hali halisi….. Ila kama hutajali MKATA KIU wewe shida ipo wapi saana? Ni kipi cha kupa hofu ya kukwamisha hayo mahusiano?

Sister ashadii asante kwa mchango, nachoogopa ni kuwa dada yake au ndugu zake wakijua mapema wakati nipo kwenye aproaching stage kumpata itakuwa ngumu, as her sister na bro ilikuwa si mchezo kuachana kwao dada alitaka kumeza sumu, we fikiria alitumiwa gar na bro walipoachana alikuja kulibwaga home na makorokoro yote aliyabwaga getini, na alijua dada yangu ndo chanzo, we stay in the same area but sio karibu kivile, so sister yake alimpigia simu dada yangu akimtishia kumuua na dada akaenda police yaan ni mambo mengi sana yalitokea, so nina uhakika huyu binti hajui vizur as amespend boarding mda mwingi but anajua dada yake alipatwa na balaa na sipati picha akijua mimi natoka humo
 
Last edited by a moderator:
bishanga hata teknik za kutongoza nshasahau,maana ni long long time,labda niseme tu..follow your instinct na usikimbilie mawazo ya kuoa afterall you are only 25,subiri ufikishe kwenye 30.

We ushawahi kusikia wapi mtu hata hajaanza kuchombeza tayari anasema anataka kuvuta mzigo jumla .....ana uhakika gani kuwa wakianza mahusiano ataridhishwa na tabia za huyo demu???aaahhh hebu niwaachie wanaume watoe ushari.
 
Unataka kutuambia utaduu nae baada ya harusi? Mbona unaguarantee ndoa ivo? Je ukikuta amekeketwa? Kule chini kunatema utamwoa tu ivo ivo?
 
bro, dipdown ts a big issue coz uyo bint 4 wat hapened lazima atafuata familiy voic of wch is nat to be wth u bt it doesnt min u cant fix it, create a frndshp wth her ili uumjue phycology yake ikoje, hw do she handle thngs, then aftr u'll get a path way of being wth her....ts quit posible kumpata bro..
 
kwani uongo?
mkikolezwa hata mkiambia haya sasa watukane kwenu woote
mnatukana...lol
uongo?
mtukane mumeo.....lol

Wewe theBoss umezidisha sasa,yaani nijikute tu natukana wa kwetu wote! Kukolea gani huko
 
Last edited by a moderator:
Watu waongo humu jf.huyu jamaa anataka tu watu wajue kuwa ana gari na job,hzo zngne ni mbwembwe tu.
 
Watu waongo humu jf.huyu jamaa anataka tu watu wajue kuwa ana gari na job,hzo zngne ni mbwembwe tu.

Sasa senetor kuwa na gari na job ni ishu hadi mtu atishike, we umezaliwa wapi ndugu yangu hadi uogope gari na job? Hivyo vitu vya kawaida tu mdogo wangu especially ukipita pita shule... Sikutegemea kwa mtu msomi atishike na gari...
 
Unajua jack daniels piga hiyo mambo mpaka huyo dada yake utamtongoza arifu kama sio kuwacha kumwogopa kabisa.
 
Tafuta sehemu tulivu isiwe baa na umweleze nia yako. Kwa kuwa kuna family conflict, jaribu uwe wa kwanza kumjulisha kabla ya mtu mwingine. Jinsi muda utakavyokuwa ukienda, atajionea mwenyewe tofauti na chaguo litakuwa lake kuamua kuendelea au la kamwe usimlazimishe.
 
Mkuu umesema tusipite but tuko na mapoint kibao ambayo tunajua ndo udhaifu wetu.. .nimechungulia kwi kwiiii hope sijashikwaaaaa
 
Mkuu umesema tusipite but tuko na mapoint kibao ambayo tunajua ndo udhaifu wetu.. .nimechungulia kwi kwiiii hope sijashikwaaaaa

Funguka sister maana mdogo wako nimeshikwa kila nikipanga sera nahisi a big NO is coming, mpaka nimewaza nimtafute dada yake kwanza but nafsi inasita, nipe weakness zenu niguse wapi ninapoanza sera
 
Mkata kiu umebagua na wataka tu wa kaka/baba hapa. But nina la kusema pia tokana na mtazamo wangu. Hapa nadhani haijalishi tena ni kwanini kakako alimbwaga huyo dadake unae m admire. Inaweza onekana mzaha, ila from experience na the way nimeona kwa wengi Mapenzi hayawi in Isolation. Kwamba maadamu wewe na huyo dada mwapendana basi inatosha…. Hapana.

Kama unampenda na una hope na Imani kabisa kua unafikiria siku moja umuoe then kwa kweli inabidi mresolve hio issue ya chuki kwanza. Waweza hata mtafuta dadake kuomba uongee nae kuona ana msimamo gani dhidi ya mawazo yako. Kama ni kwa ajili tu haya mambo ya Girlfriend na Boyfriend na hamna hakika na the future of the relationship then naamini hapo mwaweza ingia katika mahusiano. Hata hivo hapa umetoa hali halisi….. Ila kama hutajali MKATA KIU wewe shida ipo wapi saana? Ni kipi cha kupa hofu ya kukwamisha hayo mahusiano?

Ni kweli AshaDii, ktk long term relatioship Love is not the only thing, there must be a mutual understanding between families too. niliwahi hudhuria harusi moja wazazi wa pande zote mbili waligoma kuhudhuria sasa Bw na Bi harusi ni vilio tu, wadogo wa bi harusi walifanya kutoroka nyumbani kwa kuruka ukuta ili kwenda harusini. First thing first wekeni mambo sawa kwanza vinginevyo mnaweza kuingia kwenye maumivu makali.
 
Mkuu unaweza ukawa na vigezo vyooote vyakumteka uyo dada na bado ukamkosa
kwanza si umepata namba. .Jaribu bahati yako kwanza then urudi. . Umejieeleza over mshakubaliana kupanga ndoto zako. .
Ndo mana wana jf tunakuhisi. . .Am sorry . . .Wanakuhisi domo cement
 
Ni kweli AshaDii, ktk long term relatioship Love is not the only thing, there must be a mutual understanding between families too. niliwahi hudhuria harusi moja wazazi wa pande zote mbili waligoma kuhudhuria sasa Bw na Bi harusi ni vilio tu, wadogo wa bi harusi walifanya kutoroka nyumbani kwa kuruka ukuta ili kwenda harusini. First thing first wekeni mambo sawa kwanza vinginevyo mnaweza kuingia kwenye maumivu makali.

Sister nimekupata but nachohitaji sasa ni to win her heart before her sister start to interfr, I want to get her yes before her sister knows, sisi matatizo yaliyopo sio ya familia as even her sister anaongea na mama tu as mama alikuwa upande wake mpaka mwisho, na hata alivyorudisha vitu alivyopewa na bro baada ya kuachana mama alimpigia magoti kumuomba avibebe na kwa heshima that girl did, and she loves my mother a lot, tatizo kwetu sisi wadogo hatupendi as anaamini ndo source ya matatizo sio wazaz, help me to win her heart kimawazo
 
Back
Top Bottom