No divorce at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
tn

Ladies and Gentle men!!!!

If Women Would Welcome Their Husband Like this There Will Be No Divorces

Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho?

Kazi kwenu kina mama/dada………..

Twambie wee..............hivi divorce zote sababu zake ni makaribisho kwa mume eee?
 
kama hio ndio salaam yako kila siku,huyo mwanaume lazima akinai..na talaka lazima upate..teh teh
 
tn

Ladies and Gentle men!!!!

If Women Would Welcome Their Husband Like this There Will Be No Divorces

Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho?

Kazi kwenu kina mama/dada………..

We maty kakwambia nani maneno hayo? Hata umbebe mgongoni hakuna kitu talaka mchana saa sita jua linawaka kalaghabaho tu wewe shauri yako
 
kama hio ndio salaam yako kila siku,huyo mwanaume lazima akinai..na talaka lazima upate..teh teh

Muangalie vizuri mguuni kabeba kreti ya vinywaji so anachagua hapo kuna kinywaji na nanihinoa akikinai kinywaji anakaribia na nanihino akikinai hiyo anakaribia na kinywaji at least anakaribishwa vyema
 
We maty kakwambia nani maneno hayo? Hata umbebe mgongoni hakuna kitu talaka mchana saa sita jua linawaka kalaghabaho tu wewe shauri yako

hahaaaaaaa dena unamfanyia tu mwaya huwezi kuacha kusoma kisa hata ukisoma utafeli mtihani unatakiwa usome ukijua kuna kufeli na kupass so hilo lisikutishe
 
Back
Top Bottom