No development to make Ulanzi an official alcoholic consume product?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
P1060053.JPG

Kwetu Iringa hii tunaita Lager,Kijana akiwa juu ya gari lililopakia kinywaji chenye viwango tofauti,Mfano ulanzi wa Leo leo tunauita MTONGWA,na ukilala siku moja kosa alc vol inaongezeka Unaitwa Mkangafu, Ukilala siku ya Pili hapo unaelekea kufafana na Konyagi Mwitu, Msafiri naomba Kutoa Hoja hivi haiwezekani hawa local Breweries kama hawa wa Tanangozi wakapewa nguvu flani au hata hawa Original TBLwa pale Karume waje wafungue Kiwanda cha Kusindika ULANZI kwa utaaalamu zaidi na kwa usafi maana hii malighafi huku kijijini ipo nyingi na huu ndio msimu wake, Wadau wa Kijijini Msafiri Safarini naomba Kutoka Hoja.
 
Nyie wala MBWA jikusanyeni muanzishe ushirika wenu wa kusindika ulanzi kama njia ya kuhifadhi mila yenu!!!Mnaweza kumuajili ndugu yenu Luhanjo kama mtendaji mkuu kwani hana kibarua siku hizi ama sivyo atakufa upesi kwani vitu vya bure hakuna tena!!
 
mimi naupenda ule mnaouhifadhi chini ya ardhi kwa siku kadhaa halafu ukitoka huko unaitwa MDINDIFU, ni noooooma tupu! kuna jamaa pale Tanangozi alitengeneza system ya supply ya ulanzi kwenye majumba ya watu km maji ya dawasco akaweka na mita kabsaa ili upate kulipa kwa kile unacho consume. jamaa alipiga mpunga mrefu
 
Lakini mbona kuna mzee mmoja anga za Semtema Iringa alikuwa anafanya packaging ya bamboo safi ilikuwa ikapatikana kwenye mabaa na grocery isipokuwa alikuwa akisubiri jamaa wa TBS waje waidhinishe aanze kuitangaza pande zote za TZ na nchi zingine kwa ujumla
 
P1060053.JPG

Kwetu Iringa hii tunaita Lager,Kijana akiwa juu ya gari lililopakia kinywaji chenye viwango tofauti,Mfano ulanzi wa Leo leo tunauita MTONGWA,na ukilala siku moja kosa alc vol inaongezeka Unaitwa Mkangafu, Ukilala siku ya Pili hapo unaelekea kufafana na Konyagi Mwitu, Msafiri naomba Kutoa Hoja hivi haiwezekani hawa local Breweries kama hawa wa Tanangozi wakapewa nguvu flani au hata hawa Original TBLwa pale Karume waje wafungue Kiwanda cha Kusindika ULANZI kwa utaaalamu zaidi na kwa usafi maana hii malighafi huku kijijini ipo nyingi na huu ndio msimu wake, Wadau wa Kijijini Msafiri Safarini naomba Kutoka Hoja.

Daah umenirudisha home mkuu, miss sana ma home land Iringa..
 
Lakini mbona kuna mzee mmoja anga za Semtema Iringa alikuwa anafanya packaging ya bamboo safi ilikuwa ikapatikana kwenye mabaa na grocery isipokuwa alikuwa akisubiri jamaa wa TBS waje waidhinishe aanze kuitangaza pande zote za TZ na nchi zingine kwa ujumla

Mgawa Riziki Kamwene..? Unazidi kunipa raha, ukitaja semtema, ngome, mwang'ingo, TRM, mpaka KIGONZILE, duuh full raha kupata wadau wa home., huyo mzee siyo yule wa mwang'ingo namfahamu kwa jina la MALINGA..
 
Nyie wala MBWA jikusanyeni muanzishe ushirika wenu wa kusindika ulanzi kama njia ya kuhifadhi mila yenu!!!Mnaweza kumuajili ndugu yenu Luhanjo kama mtendaji mkuu kwani hana kibarua siku hizi ama sivyo atakufa upesi kwani vitu vya bure hakuna tena!!

Angalia sana kauli zako dogo...
 
dah mkuu umenikumbusha mbali.
MTOGWA naupenda sana.
 
P1060053.JPG

Kwetu Iringa hii tunaita Lager,Kijana akiwa juu ya gari lililopakia kinywaji chenye viwango tofauti,Mfano ulanzi wa Leo leo tunauita MTONGWA,na ukilala siku moja kosa alc vol inaongezeka Unaitwa Mkangafu, Ukilala siku ya Pili hapo unaelekea kufafana na Konyagi Mwitu, Msafiri naomba Kutoa Hoja hivi haiwezekani hawa local Breweries kama hawa wa Tanangozi wakapewa nguvu flani au hata hawa Original TBLwa pale Karume waje wafungue Kiwanda cha Kusindika ULANZI kwa utaaalamu zaidi na kwa usafi maana hii malighafi huku kijijini ipo nyingi na huu ndio msimu wake, Wadau wa Kijijini Msafiri Safarini naomba Kutoka Hoja.

Hivyo vifaa vyake vilivyo vichafu mh!
 
Kibuku iko juu maana inazindikwa na kuuzwa chupani kama vinywaji vingine vya kisasal
 
Back
Top Bottom