Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Nalipenda sana kwa kua hua nikilisoma nikimaliza napata "stress" jinsi ndg zangu hawa walivyo shallow, **((miaka nenda rudi wao ni wa kulalamika tuuuuuuuuuu))**
Hapo kwenye alama.....Hakuna mahali duniani wote wakawa kitu kimoja kwa muda mrefu bila kuwepo malalamiko.
Nawe kama unafanya kazi hutofanya kazi kwa muda mrefu bila kulalamika japo katrip ka-abroad upewe kama ofisi yenu inazo hizo trips.