No comment, says Ndulu as shilling drops further

I understand that China is blamed by the US for its deliberate practice of lowering its currency so that it earns more in exportation. So if the weakness of Chinese currency against USD is of such an advantage, why does it appear to be a disaster in our case? I thought that a crippled shilling against USD would mean to surge our exportation capacity but this has not been the case.
 
Ni kweli asemacho governor. Nakumbuka Governor wa Uganda alitakiwa kusimamishwa , taarifa ilipofika kwa wananchi kesho yake Shllingi ya uganda ili shuka kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kwamba hakija wahi kutokea.

Kauli za ma Govenor huwa nzito na zinasababisha speculators kuzitumia halafu ku affect viwango vya ubadilishanaji fedha za kigeni


Mkuu naamini confidence inaweza kuwa na sehemu yake lakini usitutake tusio wanataaluma ya uchumi tuamini kuwa mkakati mmojawapo ya kufanya shilingi ipande ni kutoa matangazo nchini na majuu kuwa 'uchumi wa nchi unapanda kwa kasi'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom