Nimeone hizi picha kwenye Blog ya Dada Chemi Swahili Time: Wadi ya Uzazi Hospitali ya Temeke Jionee mwenyewe, Je hizi ni athari za ufisadi au sera mbovu za afya au yote mawili. Inasikitisha kuona wazazi wakiwa wamepangwa kama mafungu ya nyaya sokoni Tandika.
Shadow.
Shadow.