Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

Katika orodha hiyo, wa kwanza ni Nape Moses Nnauye, anauheshimu sana upinzani na anawakubali sana viongozi shupavu kama Mbowe,..........ILA NINA SWALI KWA MBOWE, IKIWEZEKANA AJIBU KUPITIA HUMU HUMU JAMVINI.

Hivi Mheshimiwa Mwenyekiti, Freeman A. Mbowe, siku ile pale bungeni ulipombana Mwanry Aggrey kuhusu Wizara yake-haswa kule TAMISEMI kwake na uozo uliokithiri, akakujibu kuwa yeye hawezi kujibu hadi awasiliane na bosi wake kwanza, baadaye niliwaona nje mkiongozana huku mnacheka,,yeye sio miongoni mwa hawa wabunge 70 kweli?.

Unakumbuka baadaye kabla hamjaachana Mhagama Jenista, akaja kuchati na wewe, ila alichukua muda kidogo ukawa unamwelewesha jambo, ilkuwaje hapo?........haja-book nafasi?, Mwisho kabisa huyo Nape alitoka kwenye ukumbi wa wageni waalikwa akakupungia kabla hujafika pale eneo la parking akakufuata kwa spidi ya ajabu, ukashuka mkaanza mazungumzo kama dakika tano hivi........hakufanya-booking au yalikuwa ni "mazungumzo baada ya habari"..

Hawa watatu wamenifanya nitafakari kuhusu "UJIO" wao.

Anyway....ni hayo tu Mheshimiwa.
 
Nape anaema Mbowe anakurupuka? Na yeye je wakati alikurupuka kusema NEC iliwataka mafisadi kujuvua gamba? Karibu mika 2 hakuna kitu! Wajuvue gamba kwamba ndio Mbowe naye atawataja hadharani. Cone on Nape!
 
Back
Top Bottom