Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

Si hyo heshma aliyopewa na chama cha magamba baada ya kutaka kwnda ccj.unajua ujinga ni heshima kwa wapumbavu.umenipata broo
 
Wewe Nape unataka watajwe? Wakitajwa muanze kuwatishatisha siyo? Kwa nini usisibiri muda watakaochagua wao wa kuachana na chama cha magamba? Vuta subira hata kama itakuwa 2015 acha pressure!!
 
Usikate tamaa lema! Tunakuombea na Mungu wa israel yupo upande wako. Amen

shardcole@Tabora1
 
Tumwombe Mungu atusimamie ktk hilo tuweze kuushinda uongo uliowasilishwa mahakamani.
 
Nimependa logic ya magamba, wameitupilia mbali rufaa kabla hata haijasajiliwa ili tu kuthibitisha udhalimu wa serikali yao.
 
Da! Akisoma kurasa moja moja kwa siku, ni karibu miaka 3. Uchaguzi mwingine. Oooh! Natania tu.

Kila la heri bwana GL.
 
Ngoja tusubiri tuone kama Ikulu itaingilia tena uhuru wa mahakama
 
Nape asubiri mvua zimunyeshee, Mbowe haitaji ushauri wake katika kuendesha CDM, kama analo la kushauri afanye hivyo kwa Magamba akianzana sababu za kuporomoka kwao na sio kumfundisha Mbowe cha kufanya. Mbowe kawatonya kwamba magamba yanaishi kwenye nyumba ya barafu; kazi kwenu kufanyia kazi dodoso hilo, kama hamtaki subiri gharika.
Nape anajua mtu kushushiwa heshima!! Basi akamfunde Mkapa anayeongea uzushi mbele ya hadhara na Kibajaji anayeharishia mdomo hadharani.

Mwisho yeye Nape alipotaka kuingia CCJ alitaja jina lake hadharani? Magamba tulia mnyolewe.
 
""Ninamshauri Mbowe aache kukurupuka na aache uongo, awataje hao anaowazungumzia na akiendelea na tabia ya aina hii itamshushia heshima,"alisema Nape na kuongeza;"Siasa za aina hii amuachie Dk Slaa kwani Mbowe yeye ni mwenyekiti wa chama na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni anaheshimika."


Kwa mtu mwenye akili timamu akisoma hiyo mistari hapo juu ataelewa vyema.

Kwa summary ni kwamba, mbowe anaheshimika............amuachie slaa.

Wenye akili wameelewa!
 
Back
Top Bottom