nmepanda akamba bus ya kenya toka dar tupo abiria 7

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?
 
Kampuni hiyo broda!
Hilo likikosa vichwa kuna lililojaza nyomi ya hatari, kwahiyo compasation inatembea ndani kwa ndani!
 
Haya mabus ya Akamba mengi ni chakavu sana hayakidhi viwango vya usalama hayategemei sana abiria wa kawaida inategemea biashara za mirungi na wakimbizi wa kisoamali.
 
Umeona lile la Mombasa - Nrb- Kampala au Nairobi - Kigali ? Hawana gari moja hao, route moja inafidia nyingine, wewe kamata hivyo viti vya kulala.
 
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?

Huu msimu ni mgumu sana kwenye vyombo vya usafiri na huwa hawawezi kukatiza safari 7bu ya kujenga reputation kwa kipindi kijacho
 
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?

Huu msimu ni mgumu sana kwenye vyombo vya usafiri na huwa hawawezi kukatiza safari 7bu ya kujenga reputation kwa kipindi kijacho ambayo watacompasiate wakati ujao
 
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?

Umezoea kupanda Daladala kusimama kimchongoma!!MAZOEA YANA TABU!!
 
Hiyo ni cross boarder Daladala, niliipanda toka Nairobi kwenda Mwanza nilijuta, jamaa wanapakia abiria njiani kuliko daladala za mbagala mizigo ndo usiseme.
 
yah inawezekana wanamzigo wa kutosha chini au ndo ivyo ziko gari nyngne zinafidia.ila ni raha kua wachache unajichagulia siti unayotaka,nawasiwasi jamaa watakua wamebeba malighafi sizizo halali,naona kuna wazungu na wasomali wawili
 
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?

Hawa jamaa wanasafirisha Parcel na ndio biashara inayolipa zaidi kwao.Parcel moja inaweza ikawa na gharama nusu ya nauli ya abiria mmoja .So parce kama na abiria wachache mambo yanakwenda vyema.
 
Akamba public bus company taratibu inafilisika.Huduma zake zinazidi kuwa mbovu kila siku.
 
Akamba sasa hamna kitu,magari yao yamechakaa sana.Dec 2011 nilipanda gari yao toka Arusha saa moja jioni tukafika Nairobi saa kumi alfajiri!nikaunganisha kwenda Mwanza tukiondoka Nairobi muda huo wa saa kumi na hadi saa kumi na moja jioni ndio tulikuwa tunaingia Kisii,niliteremka hapo Kisii na kuchukua gari nyingine hadi Mpakani Sirari.
 
Mi nilishangaa sana nilienda Nairobi kwa ndege ya Jetlink kwenda tulikuwa watu kama 7 kurudi watu 4 saa sijui wanafidiaje gharama.
 
Back
Top Bottom