Nmekimbia kuhesabiwa

Aiseee babaangu kesho ndio siku yenyewe nimeandaa lita 5 ya mbege hapa njumbani karani akija 2takuwa tunakunjwa huku nampa data
 
Kila mtu ata hesabiwa alipo lala usiku wa kuamkia tareh 26, ata kama ni guest house

SENSA KWA MAENDELEO
JIANDAE KUHESABIWA
 
Asante mimi kama muislamu nimekata shauri nafuata ushauri wa mufti na sio wa wale wahuni kina ponda hivyo ndio kusema mimi na familia yangu TUTAHESABIWA
Kila mtu ata hesabiwa alipo lala usiku wa kuamkia tareh 26, ata kama ni guest house

SENSA KWA MAENDELEO
JIANDAE KUHESABIWA
 
Kila mtu ata hesabiwa alipo lala usiku wa kuamkia tareh 26, ata kama ni guest house

SENSA KWA MAENDELEO
JIANDAE KUHESABIWA

Wangu unamaanisha utalala humo kwenye huo mjengo ulioutaja hapo juu?
Wewe!!! wewe!!!
Haya tu.
 
Wangu ni mfano tu me nawe tutahesabiwa tukiwa pamoja!
Wangu hata kama ni kilala kwenye huo mjengo lazima niwe na wewe!

Wangu unamaanisha utalala humo kwenye huo mjengo ulioutaja hapo juu?
Wewe!!! wewe!!!
Haya tu.
 
kuna familia nyingine inabidi wahusika wa sensa wapite na "kalukuleta" kwa jinsi watu walivyo nyomi...
 
hivi walisema makarani wana yunifomu.

Maana mie nimeamshwa sasa hivi nihesabiwe, ngoja nikawafungulie waingie.
 
sensa ya huku nzuri zaidi maana iko detailed zaidi. Inahesabu idadi ya viungo changamshi, mapigo ya moyo na pesa.

Kila mtu ata hesabiwa alipo lala usiku wa kuamkia tareh 26, ata kama ni guest house

SENSA KWA MAENDELEO
JIANDAE KUHESABIWA
 
Back
Top Bottom